Wanawake warembo wa sura na umbo ukiwatongoza hawakatai, kimbembe wale wa upande wa pili, hivi ni kwa nini?

Hahahha...inategemea na unavyomtokea wanaume wengne hawajui kutongoza unakuta mwanaume unaanza jisifia mpk kero unajifananisha na bill gate

Ukitaka unikimbize aisee anza kujisifia kwakweli mwanamume wakujisfia anakera ! yaan anajipa flag weeeee argh !ukiwa silent unabeba mizigo ya hatar !kudos kwa wanaume mnaojitambua!

[umenikumbusha mbali ]
 
Hahaha...wanakera sana aisee halafu akiwa na kigari cha kuazima ndo utamkoma anavyochezesha funguo
 
Tuendelee tu hadi tupate tanzania ya viwanda😀😀😀😀
 
Niaje watu wazima wenzangu..?
Hivi siku hizi mambo yamekuwa viceversa? Ndani ya wiki mbili nimetongoza wanawake kama nane hivi, wawili nishawashughulikia ni wakali balaa...wala hata sikuamini kama ntawachapa nao.

Katika hao nane, watano ni mobeto haswa {kwa mtazamo wangu lakini , na hata gentlemen rijali ukiwaona lazima uwatolee mate} ..hao watatu daah ni kusema ugumu tu ukizidi unapunguza..huwezi kwenda nao public place ukachill nao, hawana mvuto kwa kifupi.

Cha ajabu hao watatu kila nikiwatupia sound full kunitukana na kunidharau..nikaona siyo ishu, hao mobeto wengine wala hawana hiyana kiroho safi na kuna mmoja weekend amesema ananitembela ninapoishi, kibla tayari.! Sasa najiuliza inakuaje watoto warembo wametiki lakini vile vigagula vimenitoselea mbali.
  • Ni kwamba wanajielewa?
  • wanajiamini?
  • hawajiamini?
Na hawa warembo vipi mbona imekuwa kusukuma mlevi....ni kwamba..
  • Wana ngoma nini, so hawana cha kupoteza?
  • Au ndo desemba hii wanatafuta expansion joints
  • Nimewavutia?
NB; Furaha yangu hao warembo hakuna hata mmoja aliyenipiga mzinga.!!😀😀😀
ulisikia wenzako wakisema wife material.mpa hapo ujajua jibu
 
Kweli vigagula wengi wagumu lakini ukiwapata watamm, kwanza huwa hawajiamini wanaisi mwanaume unataka kumchezea, kutukana ni defence way 2 ukimbana vizuri anakupa dochvere
 
Niaje watu wazima wenzangu..?
Hivi siku hizi mambo yamekuwa viceversa? Ndani ya wiki mbili nimetongoza wanawake kama nane hivi, wawili nishawashughulikia ni wakali balaa...wala hata sikuamini kama ntawachapa nao.

Katika hao nane, watano ni mobeto haswa {kwa mtazamo wangu lakini , na hata gentlemen rijali ukiwaona lazima uwatolee mate} ..hao watatu daah ni kusema ugumu tu ukizidi unapunguza..huwezi kwenda nao public place ukachill nao, hawana mvuto kwa kifupi.

Cha ajabu hao watatu kila nikiwatupia sound full kunitukana na kunidharau..nikaona siyo ishu, hao mobeto wengine wala hawana hiyana kiroho safi na kuna mmoja weekend amesema ananitembela ninapoishi, kibla tayari.! Sasa najiuliza inakuaje watoto warembo wametiki lakini vile vigagula vimenitoselea mbali.
  • Ni kwamba wanajielewa?
  • wanajiamini?
  • hawajiamini?
Na hawa warembo vipi mbona imekuwa kusukuma mlevi....ni kwamba..
  • Wana ngoma nini, so hawana cha kupoteza?
  • Au ndo desemba hii wanatafuta expansion joints
  • Nimewavutia?
NB; Furaha yangu hao warembo hakuna hata mmoja aliyenipiga mzinga.!!😀😀😀
Hahaha
 
Back
Top Bottom