Niaje watu wazima wenzangu..?
Hivi siku hizi mambo yamekuwa viceversa? Ndani ya wiki mbili nimetongoza wanawake kama nane hivi, wawili nishawashughulikia ni wakali balaa...wala hata sikuamini kama
ntawachapa nao.
Katika hao nane, watano ni
mobeto haswa {kwa mtazamo wangu lakini , na hata
gentlemen rijali ukiwaona lazima uwatolee mate} ..hao watatu daah ni kusema ugumu tu ukizidi unapunguza..huwezi kwenda nao public place ukachill nao, hawana mvuto kwa kifupi.
Cha ajabu hao watatu kila nikiwatupia sound full kunitukana na kunidharau..nikaona siyo ishu, hao
mobeto wengine wala hawana hiyana kiroho safi na kuna mmoja weekend amesema ananitembela ninapoishi, kibla tayari.! Sasa najiuliza inakuaje watoto
warembo wametiki lakini vile
vigagula vimenitoselea mbali.
- Ni kwamba wanajielewa?
- wanajiamini?
- hawajiamini?
Na hawa warembo vipi mbona imekuwa kusukuma mlevi....ni kwamba..
- Wana ngoma nini, so hawana cha kupoteza?
- Au ndo desemba hii wanatafuta expansion joints
NB; Furaha yangu hao warembo hakuna hata mmoja aliyenipiga mzinga.!!
😀😀😀