Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Poker

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Posts
5,445
Reaction score
14,828
1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie

Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha hao ikiwemo bareilly, stylecrazy, vogue, playboy, esquire, Bloomberg, womenintheworld n.k hongera kwa tuerny TZ kuiwakilisha Tanzania duniani.


 
WAMETUMIA VIGEZO GANI KUJUA NDIO WAREMBO ZAIDI DUNIANI?
 
Kwa hiyo mkuu kwa vigezo vya hiyo sayansi unayotuambia wamekidhi watu wa magharibi tu,waafrika wote hakuna hata mmoja mwenye hizo measurements?
Kasome upya yupo tuerny na huddah! Acha uvivu kusoma
 
Mbona hawajapiga picha TABIA ZAO ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…