Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Tunakujua wewe ni chawa wa Unyoya na Tuerney a.k.a Aristote.

Huwezi kutuambia Science na vipimo ndio kithibitisho cha uzuri, infact kila mtu ni mzuri.

Mimi kupenda wali haamaanishi kuwa ugali sio mzuri, mwingine atapenda ugali.
Acha kubishana na sayansi wewe!
 
Nakubali ila hawajikizi vigezo vya kuitwa pisi kali labda kwa humu humu JF.
Rafiki zangu wote wa kike wa humu naowajua ni pisi kali, sijawahi kua na rafiki wa kike mbovu...
 
Kuna tofauti kuuubwa kati ya "urembo na uzuri"

Urembo ni artificial ila uzuri ni natural
 
Huwa nashindwa kuwaelewa hawa wanaojiita watafiti,nadhani kama huyu labda useme sector nyengine ila unatoa wapi guts za kumwita huyu ni namba fulani ktk warembo???
Screenshot_2022-08-21-17-45-59-799_com.mi.globalbrowser.jpg
 
Back
Top Bottom