Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Poker Mkuu mbona umekua adimu? Bosi wako Uwoya anaendleaje? na mbona hujamjumuisha kwenye list?​

 

Poker Mkuu mbona umekua adimu? Bosi wako Uwoya anaendleaje? na mbona hujamjumuisha kwenye list?​

Nipo mkuu hiyo list ni kwa mujibu wa sayansi hivo uwoya hayupo ila ukiacha mambo ya sayansi uwoya ni anakimbiza.
 
Kwa kweli mimi wazungu siwaonagi wazuri kabisa sijui kwa nn .Yaani nawaona wanyarwanda ndo best sijui hii ikoje hata sijui Kim kardash wa kawaida yaani afahali Rihanna na ule weusi kwa mbali ndo namuona mzuri ukija kwa wakorea sijui wachina ndo kabisa siwaoni wazuri
 
Beauty in the eye of the beholder' has a literal meaning: that the perception of beauty is subjective - people can have differing opinions on what is beautiful.

So what one person perceives as flawless and captivating might be ordinary or unappealing to another
Jozeeeeeeeeeee maaaamaeee
 
1- bella hadid 2- Adriana Lima 3- Beyonce 4-deepika Padukone 5- tuerny TZ 6- angelbaby 7- Aishwarya Rai 8- huddah Monroe 9- Priyanka Chopra 10- Margot Robbie

Hao ndio wametajwa kuwa wanawake warembo, wenye mvuto, na maendeleo katika nyanja mbalimbali. Majarida mengi ulimwenguni yamewaorodhesha hao ikiwemo bareilly, stylecrazy, vogue, playboy, esquire, Bloomberg, womenintheworld n.k hongera kwa tuerny TZ kuiwakilisha Tanzania duniani.

View attachment 2328290 View attachment 2328293View attachment 2328294View attachment 2328295View attachment 2328296View attachment 2328297View attachment 2328305View attachment 2328304View attachment 2328292
View attachment 2328291
Akuna chombo hapo hata kimoja, yote mibaya...
 
Uyo hadidi wenu Hajamfikia hata uyu[emoji4]
images-241.jpg
 
Ni kwa mujibu wa sayansi na vipimo sio macho jaribu kuwa muelewa!

Kuona ni kuamini,
Sayansi haiwezi kuniamulia mimi urembo wa mwanamke, macho ninayo.

Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu, si sayansi.
 
Nipo mkuu hiyo list ni kwa mujibu wa sayansi hivo uwoya hayupo ila ukiacha mambo ya sayansi uwoya ni anakimbiza.

Tunakujua wewe ni chawa wa Unyoya na Tuerney a.k.a Aristote.

Huwezi kutuambia Science na vipimo ndio kithibitisho cha uzuri, infact kila mtu ni mzuri.

Mimi kupenda wali haamaanishi kuwa ugali sio mzuri, mwingine atapenda ugali.
 
Back
Top Bottom