Wanawake warembo zaidi duniani kwa mwaka 2022 TOP 10!

Poker Mkuu mbona umekua adimu? Bosi wako Uwoya anaendleaje? na mbona hujamjumuisha kwenye list?​

 

Poker Mkuu mbona umekua adimu? Bosi wako Uwoya anaendleaje? na mbona hujamjumuisha kwenye list?​

Nipo mkuu hiyo list ni kwa mujibu wa sayansi hivo uwoya hayupo ila ukiacha mambo ya sayansi uwoya ni anakimbiza.
 
Kwa kweli mimi wazungu siwaonagi wazuri kabisa sijui kwa nn .Yaani nawaona wanyarwanda ndo best sijui hii ikoje hata sijui Kim kardash wa kawaida yaani afahali Rihanna na ule weusi kwa mbali ndo namuona mzuri ukija kwa wakorea sijui wachina ndo kabisa siwaoni wazuri
 
Jozeeeeeeeeeee maaaamaeee
 
Akuna chombo hapo hata kimoja, yote mibaya...
 
Uyo hadidi wenu Hajamfikia hata uyu[emoji4]
 
Ni kwa mujibu wa sayansi na vipimo sio macho jaribu kuwa muelewa!

Kuona ni kuamini,
Sayansi haiwezi kuniamulia mimi urembo wa mwanamke, macho ninayo.

Uzuri wa mtu upo machoni pa mtu, si sayansi.
 
Nipo mkuu hiyo list ni kwa mujibu wa sayansi hivo uwoya hayupo ila ukiacha mambo ya sayansi uwoya ni anakimbiza.

Tunakujua wewe ni chawa wa Unyoya na Tuerney a.k.a Aristote.

Huwezi kutuambia Science na vipimo ndio kithibitisho cha uzuri, infact kila mtu ni mzuri.

Mimi kupenda wali haamaanishi kuwa ugali sio mzuri, mwingine atapenda ugali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…