Agosti 9, 2022, katika mji wa Meishan mkoani Sichuan China, wanawake wanashiriki kwenye mafunzo ya ustadi wa kutunza nyumba katika shule ya mafunzo ya kisiasa katika Kaunti ya Renshou.
Kuanzia mwaka 2022, serikali ya wilaya ya Renshou ilitegemea vituo vya mafunzo ya ustadi wa utunzaji nyumba na shule kutoa mafunzo ya bure kwa wanawake wenye mahitaji ya ajira kama vile utunzaji wa mama na mtoto, malezi ya watoto, matunzo ya wazee na ustadi mwingine wa huduma za nyumbani, ili kuwasaidia wanawake kuboresha ustadi wao wa ajira na kupanua soko la ajira.