Labda flat screen ila wenye chura soko lao limo juu pamoja na ubov wa sura zaoAlafu wenye sura mbaya huwa hawachepuki maana hawasumbuliwi mara kwa mara na wahuni yani hapo guarantee ni 100% unaishi peke yako husalitiwi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dis fun.
Chura inauza siku zote sio [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] Ndio ile michezo ya kufunikana uso au kuchukulia sura ni ya Rihanna kwenye maroom huko?Labda flat screen ila wenye chura soko lao limo juu pamoja na ubov wa sura zao
Si ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri.
Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu.
Samahani nilisahau kusalimia.
Mkuu umefeli sana. Mkuu wenye sura mbaya waliwa sana kimasikhara yani hawatongozwiAlafu wenye sura mbaya huwa hawachepuki maana hawasumbuliwi mara kwa mara na wahuni yani hapo guarantee ni 100% unaishi peke yako husalitiwi [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] dis fun.
Asee twafaa[emoji134][emoji849]Sura mbaya jeuri atatoa wapi!? Shurti awe mpole tu
Asee twafaa[emoji134][emoji849]