Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Muonekano wa nje hauwez kutafsir undan wa mtu, anaweza akawa na sura mbaya na tabia ikawa mbaya hivyo hivyo, anaweza akawa ni mrembo na tabia ikawa nzuri hivyohivyo,
Ndo maana wapo wanawake warembo wanadum na ndoa zao, na wapo wale kimuonekano siyo wazur Sana na hivyohivyo hawadumu na ndoa
Muonekano wa maumbile,rangi ya mtu haitafsiri moja kwa moja undani