Vipi kama kutokana na sura kukosa matunzo ndiyo maana ukamkuta bikra?...hakuna mwanamke mwenye sura mbaya machoni mwa mwanaume.. tofauti yao ni matunzo tuuh..
Kuna bint anamiaka 20 nmemkuta na bikra yake japo anasura isiyo na matunzo na wala hayupo kiromantiki...hv napanga kumuoa
Muogope Kama moto mwanamke anae ona sura yake ni nzuri kuliko tabia yake...tena mkimbie kwa kasi ya 5G
huenda lakini katika matunzo pia hutofatiana huyu demu alikosa matunzo upande wa mavazi na vipodozi pia alikuwa ajipendi kutokana na matatzo ya maisha so ilimpelekea afubae lakini she is so beautiful to me.Vipi kama kutokana na sura kukosa matunzo ndiyo maana ukamkuta bikra?
Na ndiyo comment yangu ilipolenga. Umemkuta hana matunzo. Vipi kama kukosa matunzo ndiyo kumefanya umkute bikra?huenda lakini katika matunzo pia hutofatiana huyu demu alikosa matunzo upande wa mavazi na vipodozi pia alikuwa ajipendi kutokana na matatzo ya maisha so ilimpelekea afubae lakini she is so beautiful to me.
huenda ikachangia kidogo but na misimamo yake pia imeweza kumfaanya nimkute bikra...........lau ingekuwa matunzo tu basi machizi wote wangekuwa wanazo..Na ndiyo comment yangu ilipolenga. Umemkuta hana matunzo. Vipi kama kukosa matunzo ndiyo kumefanya umkute bikra?
Ni kweli mkuu, wanawake ambao hawana muonekano mzuri wana tabia njema na sifa zote za kuolewa ila tatizo lipo kwa hawa wanaojifanya wazuri, na utakuta ni wasumbufu sana ila siku ukimla utatamani kutapika kwa hiyo shombo ya nguruSi ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri.
Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu.
Samahani nilisahau kusalimia.
Kila la kheri mkuuhuenda ikachangia kidogo but na misimamo yake pia imeweza kumfaanya nimkute bikra...........lau ingekuwa matunzo tu basi machizi wote wangekuwa wanazo..
Ana sura yake persnonal....dahIla ukweli ni kwamba sisi sisi wanaume ndio hua tunawafanya wanawake wazuri kuwa wa hovyo hovyo. Binti akizaliwa mzuri tu kosa, woote tunaanza kumrukia hata kabla hajavunja ungo watu tayari tunamgawana. Huyo binti mpaka aje afikishe miaka 25 kuna mtu tena hapo?
Wakati huo yule mwenye sura yake personal unakuta anafika huo umri hajawahi ata kusimamishwa njiani ana zile adabu alizofundishwa na mama yake mpaka leo hajawa corrupted ukimuita anakimbia. So wakati mwingine sio makosa yao hawa wazuri ni makosa ya jamii kwa ujumla.
Kwani uzuri kwa mwanamke ninini mkuuSi ajabu ndio wanaoongoza kwa kuolewa. Hakuna mwanaume anaejielewa amuoe mwanamke wa hovyo hovyo kisa ana sura nzuri.
Nyie wenye sura nzuri msipojirekebisha mtaishia kudanga tu.
Samahani nilisahau kusalimia.