'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

sasa kama nyie mmeanza kummega tangia akiwa shule ya msingi, sekondari, high school hatimaye mnambadilisha kama nguo awapo chuo kikuu mnatarajia nini? kichwani mwake ana taste ngapi? je ww uliyemuoa unazo zote? zingatia kila mtu ameumbwa tofauti na mwingine? hiki pia kimekuwa moja ya chanzo cha ugonjwa wa kansa kwa wanawake

Tumepanda maovu tunastahili kuvuna maovu zaidi
 
ni kweli mkuu maana ukiangalia kwenye graphs zinapanda kadri anavyozidi kupanda kielimu pia

 
lol, kama ndio hivi sasa familia tutazinusuru vipi!? Maana ukioa asiye na shule na watoto wataishia huko, na wasomi ndio kama hivi wanatulazimisha ku-share. Kumbe inawezekana ndio maana vijana hawataki kuoa siku hizi. Kwa wale wasioweza kufungua link hiyo, msaada huu hapa.
 
Me nasemaje,,,,,kwa uelewa wangu jamii za wanawake wa aina zote nimekumbana nazo,,,,huko chuoni nimeona wasomi walivokua wakibehave kwenye uhusiano,,,,lakin na huku uswahilini pia nawaona hawa akina dada wanavogongwagongwa,,,,jamani hawa watu nahis kama wapo ngoma drooo(wasomi na waso-wasomi)
 
Kweli kabisa. Mi mwenyewe nimerudi ndani sasa hivi. . .
 

Sina haja tena ya kutoa analysis yangu kwavile umeshamaliza....only one word EXPOSURE ndo kila kitu hapo!!! Big parties, study tours, field works, seminars, workshops, training...nd many many more......hata sie ndo huko huko tunakamataga!
 
Kuto nje ya ndoa Nitabia ya mtu haijalishi kasoma ama hajasoma.Mtangulize Mungu ktk maisha siku zote utashinda
 

am tired,busy,not in mood kuna mtu kanibore kazini.visingizio vya wanawake wasomi.
 
uzinzi hauna elimu wala kukosa elimu. fikiria wale wanawake walioolewa wanashinda nyumbani, mume kaacha 5000 ya chakula lakini anapikiwa mapochopocho na haulizi. mwanawake ana mabwana wa kila aina, muuza nyama, muuza nazi, muuza nyanya, mangi wa dukani, ili mradi akiamka asubuhi anapitia kila genge akibeba vyakula. kuna wale wengine nao anatembea na mpangaji wa chumba cha pili, kijana mdogo anayestahili kua mwanae. msioee wasomi. hizi takwimu sijui ni za wapi na za mwaka gani maana nimeona uvivu kusoma. uswahili kusikokua na wasomi kuna vituko kuliko udhaniavyo.
 
Ezan, kwani shetani huwa anakuwa wa rangi gani?

ndo ujue hawa wenzetu wametutawala sana hasa kifikra.

Shetani ni kiumbe wa kiroho (malaika) aliemwasi Yehova Mumgu. Kwa sisi walokole tunaoona kwa macho ya kiroho tunamwona shetani akiwa na rangi ya uasi na uovu.
 
Last edited by a moderator:
Tuanze na vioo vya jamii Makina na Sophia Simba wameolewa?
 
Wanaume ni 18% promiscuous! As for the uneducated it goes up to 36%
 
any way ni upepo tu utapita,study ina jaribu kunigombanisha na wasomi wa kike! KONGOSHO asema swala la confidence, la msingi sana. pengine wanawake waliosoma ni wepesi kutambua mapungufu ya wenzi wao ndio maana wanakimbilia pengine, na ikumbukwe kwamba wanawake walio soma hawapendi wanaume wasio na confidence
 
Kutoka nje ya ndoa ni tabia ya mtu wala elimu haihusiki hapo..
 
Mimi naunga mkono huu utafiti. Usomi unampelekea mwanamke kuajiriwa ofisini na ofisini hakuna asiejua kwamba ndio transit za kuelekea gesti hauzi. Haya tunayoyaona ofisini usizani ni maigizo bana ndio hali halisi yenyewe
Heheheh Fellow tablet klorokwini hebu acha kutuharibia mipango yetu bana. Kuna mbosi mmoja hapa kwa mkoloni wangu analiwa na draiva wake kama jogoo na mtetea.........khaa!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…