'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

mbumbumbu kabisa wewe, cha kudandia treni kwa mbele. Lete hoja acha viroja you male male chauvenist.
cartoon.jpgmaoni ya msanii 'kipanya' wa huko baada ya kusikiliza response za wasomaji wa tafiti hiyo!
 
Mama naomba leo nikutukane.. Yaani wewe ndio pumba kabsaaa (samahani lakini) umejump into commenting without reading slowly and careful a thread.. Kosa la mtoa thread ni nini.. Ye amebandika utafiti we unasema ni false so neednt to be shared.. Sasa ambacho false ni nini.. Kwamba jamaa ametunga, watu hawakuhojiwa au watu hawakujibu hvyo? Hebu tuwekee na we utafiti wako unaopinga huu..

Pili umemwambia mwenye thread aangalie % ya wanaotoka secondary kuingia chuo.. Sawa hata kama ni ndogo, utaofiti haupo hvyo mama, na huu utafiti haujafanYwa kwa kumfatilia mtu kuanzia darasa la kwanza mpaka anapokuwa chuo. Umefanyika kwa muda mfupi, so walikuwa wanahoji makundi mbali mbali kielimu kwa idadi. Kwamba (sina uhakika, ila ni kutokana na matokeo ya utafiti kama umeelewa) kama ni primary wanahoji watu 100, sekondari 100 n.k.. Sio kwamba idadi itakayohojiwa basi waasume si yote itakayofika chuo.. La hasha..

Funguka mama!

Mkuu kujua kanuni za utafiti nalo linahitaji mtu kuwa ameelimika. Kuna ambao hawaamini ktk utafiti ndugu!
 
Hiyo sehemu ya uganda ilikofanyika hii 'study' inapakana na mkoa gani wa Tanzania?
wacha hiyo maneno bwana, huku sisi tulishaacha siku nyingi hayo mambo baada ya 'kunyanyaswa' na kale kaugonjwa. Kama unabisha fuatilia uprove
Lakini pia huku vyuo na shule sio nyingi!

Salaamu wanajamvi,

Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao.

Wameenda shule. Wana kazi zenye hadhi kubwa na mara nyingi wakiendesha magari ya kisasa. Lakini nyuma ya pazia la haya yote, wanawake waliosoma wanajihusisha na udanganyifu kwenye mapenzi (mahusiano) zaidi ya wenzao wasio elimika, kulingana na takwimu mpya zilizopatikana.

My take:
Mazingira ya wenzetu hawa yanafanana sana na hapa Tanzania na nashawishika kuamini kuwa huenda hali hapa kwetu ikawa ni zaidi hawa wenzetu, wote tunajua hilo. Sijui ni sababu ya teknolojia au umasikini! Kuna mwenye mawazo zaidi au tofauti?

View attachment 54287

Source: 'Educated women more promiscuous than men'

Inamaana huyu bi dada ndo kawapanga hao jamaa.

But, they are happy by the way.
Vipi wanaume wakisoma hawana chain ya kuanzia form one hadi sugar mummies?
 
Nakubaliana huu utafiti kwa 100% wasomi wanawake wasumbufu sana, kuna mmoja kaolewa lakini anasema hawezi kumnyima chochote boy friend wake aliyekuwa nae chuo.
 
He he he he, na kweli.
Ndo maana nikasema confidence ya kujaribu ni kubwa hasa tujiwa kwenye semina ngurdoto.

Afu kwenye hii list kasaulika mmoja, anyway!
Aliyesahaulika atakuwa The Boss!!!!!
 
Wanawake wasomi hupata kazi nzuri na huwa wanakuwa busy sana kazini na husafiri sana. Muda mzuri wa kupumzika hupatikana awapo safarini. Na huko safarini libido zao huwa juu sana na kuwa rahisi kumegwa. Akimegwa wakati huo kitendo hicho huwa ni cha raha sana na pindi apatapo nafasi kama hiyo hutamani kitu hicho kitokee tena na tena.
 
Heheheh Fellow tablet klorokwini hebu acha kutuharibia mipango yetu bana. Kuna mbosi mmoja hapa kwa mkoloni wangu analiwa na draiva wake kama jogoo na mtetea.........khaa!

Asavali ya huyo, kuna kanjemba apa toilet ya ofisini ndio kamegeuza gesti, kuna wake za watu kama wanne ivi apa ofisini na wote kinjemba kishawapreezia.
Yaani inaniuma sana kuona kwamba Hapa ofisini mimi tu ndio mwaminif wa ndoa yangu.
 
arifu uanonekana dhauifu sana aiseee.....kama hizo ndio idea zako aiseee.....mbona mama yako aliajiliwa....au na yeye......??
Aaah Arifu mimi ya maza hainiumizi bana, ya waifu ndio inaumiza, mimi waifu wangu ataendelea kuuza vitenge kwa wanawake wenzie tu hapa hapa ndani. Hamna ofisi wala ubalozi, na akichoka atadai talaka.
 
Asavali ya huyo, kuna kanjemba apa toilet ya ofisini ndio kamegeuza gesti, kuna wake za watu kama wanne ivi apa ofisini na wote kinjemba kishawapreezia.
Yaani inaniuma sana kuona kwamba Hapa ofisini mimi tu ndio mwaminif wa ndoa yangu.
du, mbona tunakatishana tamaa sasa!?
Hii technology inatupeleka kubaya sasa maana zamani bora wake/waume za watu walifanya lakini wenzi hawakujua. Mfano kama Wamasai kutumia njia ya kusimika mkuki

du, mbona tunakatishana tamaa sasa!?
Hii technology inatupeleka kubaya sasa maana zamani bora wake/waume za watu walifanya lakini wenzi hawakujua. Mfano kama Wamasai kutumia njia ya kusimika mkuki

heheeh haukatishwi tamaa mkuu, ndio ujamaa wenyewe huu, kufa utakufa wewe lakini kaburi tutachimba sisi.
Ishi tu vile unavopenda, raha jipe mwenyewe.
 
Ni kweli kabisa,lakini mbona huu utafiti umeacha kuangalia upande wa pili yaani wanaume waliosoma sana hasa VIJANA wanaongoza kutoka nje kuliko wanaume ambao hawajasoma sana.hii imekaaje?
 
Ni kweli kabisa,lakini mbona huu utafiti umeacha kuangalia upande wa pili yaani wanaume waliosoma sana hasa VIJANA wanaongoza kutoka nje kuliko wanaume ambao hawajasoma sana.hii imekaaje?
unajua watu wanaofanya utafiti wanakuwa limited na mambo mengi, kwa hii hoja yako mtu anaweza kutumia vigezo vilivyotumika (parameters) na kufanya hiyo study ya upande wa pili (wanaume/vijana).
Mkuu, nimesikia hata kwenye media za leo (hata hapa jf zipo) kuwa UDSM wamechelewesha posho kwa na wadada wanajiuza ili waweze kuishi japo hawajasema wavulana wana-survive vipi.
Labda yaweza kuwa ni matokeo ya 'mfumo dume'

Salaamu wanajamvi,

Nami nikaona sio vibaya leo kukatiza kwenye jukwaa hili. Na hii ni juu ya wenzetu wadada na wamaa walioenda shule tukitarajia ingesaidia kuimarisha familia na mahusiano yao.

Wameenda shule. Wana kazi zenye hadhi kubwa na mara nyingi wakiendesha magari ya kisasa. Lakini nyuma ya pazia la haya yote, wanawake waliosoma wanajihusisha na udanganyifu kwenye mapenzi (mahusiano) zaidi ya wenzao wasio elimika, kulingana na takwimu mpya zilizopatikana.

My take:
Mazingira ya wenzetu hawa yanafanana sana na hapa Tanzania na nashawishika kuamini kuwa huenda hali hapa kwetu ikawa ni zaidi hawa wenzetu, wote tunajua hilo. Sijui ni sababu ya teknolojia au umasikini! Kuna mwenye mawazo zaidi au tofauti?

View attachment 54287

Source: 'Educated women more promiscuous than men'

Huo utafiti umefanyika kwa wanawake tu??!! Vipi kuhusu wanaume???? Unaweza ukakuta ndo balaa!!!!
 
Mama naomba leo nikutukane.. Yaani wewe ndio pumba kabsaaa (samahani lakini) umejump into commenting without reading slowly and careful a thread.. Kosa la mtoa thread ni nini.. Ye amebandika utafiti we unasema ni false so neednt to be shared.. Sasa ambacho false ni nini.. Kwamba jamaa ametunga, watu hawakuhojiwa au watu hawakujibu hvyo? Hebu tuwekee na we utafiti wako unaopinga huu..

Pili umemwambia mwenye thread aangalie % ya wanaotoka secondary kuingia chuo.. Sawa hata kama ni ndogo, utaofiti haupo hvyo mama, na huu utafiti haujafanYwa kwa kumfatilia mtu kuanzia darasa la kwanza mpaka anapokuwa chuo. Umefanyika kwa muda mfupi, so walikuwa wanahoji makundi mbali mbali kielimu kwa idadi. Kwamba (sina uhakika, ila ni kutokana na matokeo ya utafiti kama umeelewa) kama ni primary wanahoji watu 100, sekondari 100 n.k.. Sio kwamba idadi itakayohojiwa basi waasume si yote itakayofika chuo.. La hasha..

Funguka mama!

hapo umenena! findings za study fulani zinakuwa rejected kwa wewe kufanya study na kuleta zingine ili zi justify hicho anachoamni ni sahihi zaidi ya kilicholetwa humu;otherwise atakua anajaa upepo bure kama mwanaharakati wa mambo ya jinsia....a study is nullified by another that will g
 
Kuto nje ya ndoa Nitabia ya mtu haijalishi kasoma ama hajasoma.Mtangulize Mungu ktk maisha siku zote utashinda
Ni tabia ya mtu lakini kuna mazingira yanayoweza kumfanya mwanamke akagongwa bila kupanga. Kwa mfano hizi semina na field trip, nk. Nishashuhudia mama mmoja ambaye alikuwa anajiheshimu sana,ilikuwa ni baada ya semina nje ya mji wa kituo chetu cha kazi akiwa na kampani ya wanawake wenzake wanaotumia pombe(yeye hakuwa mnywaji) alishawishiwa kunywa pombe na hao wanawake wenzake ambao walikuwa pamoja na wanaume kadhaa. Baada ya hapo wakagawana na yeye akajikuta anaondoka na mwanaume mmojawapo. kesho yake anaamka pombe zimeisha anaanza kusononeka. Lakini ndio keshachapwa na hakuna reverse gear ya kurudisha awe hajachapwa.
 
Back
Top Bottom