'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

'Wanawake wasomi wanatoka nje zaidi ya wanaume...'

Inalingana kwa matabaka yote ya watu, labda utupatie matokeo zaidi ya tafiti zako
 
Huo utafiti umefanyika kwa wanawake tu??!! Vipi kuhusu wanaume???? Unaweza ukakuta ndo balaa!!!!
hoja iko wazi, kwa wanaotaka kujua juu ya wanaume wako huru pia. Labda katika pitapita twaweza kukumbana nayo na ikasutaidia kujua zaidi. Lakini Tz nasikia tuna udhaifu mkubwa katika kufanya research maana zilizofanyika huko nyuma watu walizidharau na waliopo sasa wanaendelea kuamini kuwa wakitumia muda wao mwingi na rasilimali nyingine wengi hawatathamini matokeo.
 
hapo umenena! findings za study fulani zinakuwa rejected kwa wewe kufanya study na kuleta zingine ili zi justify hicho anachoamni ni sahihi zaidi ya kilicholetwa humu;otherwise atakua anajaa upepo bure kama mwanaharakati wa mambo ya jinsia....a study is nullified by another that will g
ndilo tatizo letu hilo!
Nashauri pale study yoyote inapofanyika ni bora kutafakari matokeo yake badala ya kungang'ania yale tunayoyajua tu. Tukumbuke kuwa tunayojua ni asilimia ndogo sana na elimu kwa ujumla wake

 
Mimi naunga mkono huu utafiti. Usomi unampelekea mwanamke kuajiriwa ofisini na ofisini hakuna asiejua kwamba ndio transit za kuelekea gesti hauzi. Haya tunayoyaona ofisini usizani ni maigizo bana ndio hali halisi yenyewe
Hawa wana exposure kubwa ya majimambo. Wanataka mionjo tofauti. Wewe dume ukimzoesha mlalo wa aina moja tu itakula kwako. Unatakiwa mwanaume uwe mtundu ajibadirishe kama kinyonga kwa mapigo ya kila aina na manjonjo kibao. Hata kama wewe ni msukuma mkokoteni yeye ni Ki-bosi, nakwambia hatoki nje hata siku moja.
 
Kila kitu kinakinai. Mwanaume yuleyule kila siku, staili ile ile kila siku, inakinai. Hata chakula mapishi yaleyale kila siku, hukinai. La msingi, Enyi wanaume, acheni kuchunguza sana wake zenu. Mnavyo iba wake za wenzenu, ndivyo hivyohivyo mnavyoibiwa wake zenu. Cha msingi, mke akikuheshimu asikuonyeshe, shukuru Mungu. Mbaya ukiona. Ila, hakuna mwanamke mpumbavu anaye ishia mwanaume mmoja kila siku. Mwache abadili ladha, mwombe akuheshimu, usione unavyoibiwa, basi.
 
kesho yake anaamka pombe zimeisha anaanza kusononeka. Lakini ndio keshachapwa na hakuna reverse gear ya kurudisha awe hajachapwa.

nyoka akishatema sumu ndiyo katema hivyo...ndege mjanja hunaswa na tundu bovu..
 
mbona mimi msomi sina hata mwanaume mmoja?


Mhhhh! labda unawatolea nje....vinginevyo ungeshamzimikia japo mmoja

 
Last edited by a moderator:
Omojubi huitaji research n all that, tembelea vio vyetu tu vya hapa town ifm,cbe, ustawi,udsm then followup on gals, utatamani utapwike:A S embarassed::A S embarassed:

Haka kautafiti kanaukweli ndani yake ni kweli tembelea taasisi nyingi zenye wanawake wasomi wengi wao wanachapwa hovyo tu hawajaolewa!!wanabadilisha wanaume kila kukicha, truely promiscuity!!compared to males!!
 
NA KUBALIANA NA WEWE KWA KIASI FULANI COZ HAYA MAMBO PIA NIMEKUWA NIKIYAONA KATIKA VYUO VIKUU NA NILISHA WAHI KUYASIKIA MARA KADHAA. ILA NAOGOPA KUSEMA KWAMBA WANAWAKE WALIO SOMA NI..... KUNA MAKALA MOJA INAYO ELEZA SABABU ZA WANAWAKE KU CHEAT, KAMA INAVYO ONEKANA HAPA CHINI:
Why women cheat differs from woman to woman. Some do it for love, some for sex, some need a boost in their self-esteem and some are just wired to be unfaithful.
I’m of the opinion that it doesn’t matter why women cheat. Once the cheating occurs I’m not one to go looking for excuses for bad behavior. I know from experience though that if your wife has cheated, your first question will more than likely be, “why?”
Below are four reasons some women cheat. Keep in mind that the reason behind the cheating is not as important as the cheating itself. Don’t allow yourself to make excuses for bad behavior!

  • The Low Self-Esteem Wife: Some women become nothing more than a mother, housekeeper and wife who keeps the family running smoothly. Maybe she is feeling frumpy and unattractive. Her self-esteem is in the gutter…she no longer feels sexy, beautiful or desirable. She is married to a man who takes her and the marriage for granted.
    Enter into the picture a man who compliments her, shows interest in her emotionally, tells her she is beautiful. A man who looks at her and sees something other than a mother, housekeeper and wife. A woman who is having issues with low self-esteem is a sitting duck for a man like this. She may find herself willing to throw caution to the wind in order to find the validation she needs and is not getting in the marriage.
  • The Emotionally Starved Wife: I know a couple that have no children. They both work hard so they can have the big house, the expensive cars and the prestigious lifestyle they believe will make them happy. Only problem is, they are working so hard to accumulate things that they are neglecting their relationship with each other.
    There is no romance in their marriage and any emotional attachments are to the “things” they’ve acquired over the years. The wife recently told me she was “lonely in her marriage.” What happens when a woman feels lonely and no emotional attachment to her husband? She goes looking for emotional attachment elsewhere.
  • The Angry Wife: There is no better way to get back at a husband who has cheated than to cheat yourself. It is true that “hell hath no fury like a woman scorned.” If you want to bring out the worst in your wife let her doubt your fidelity.
    I know a woman who had been a devoted wife and mother. She had spent years putting her family and marriage first. She caught her husband with his young lover and was hell bent on getting revenge. She went to Victoria’s Secret, charged hundreds of dollars in lingerie and then found someone other than her husband to show it all off to. Her husband got the bill!
    So, if you are out cheating on your wife do so knowing that she may end up playing “tit for tat.” Nothing is more surprising or harder to deal with than finding out your devoted wife has decided that what is “good for the goose, is good for the gander.”
  • The Wife Who Seeks Excitement: You have heard of men who are serial cheaters…they cheat for the thrill of it. There are women who are thrill seekers also. They may love their husbands, would never entertain the thought of leaving him but they need a little something extra.
    It is my opinion that most “thrill seekers” miss the feeling that comes with feeling their spouse can’t keep his hands off her. She wants to be wanted, to feel sexy, as if she turns her husband on every time she walks in the room. When she loses that feeling, she goes looking for it outside the marriage.
  • The Sexually Deprived Wife: If she isn’t getting sex at home, don’t be surprised if she goes looking for it outside the marriage. As men age their testosterone levels drop. When this happens they become less interested in sex or develop sexual dysfunction and are unable to perform. A wife ends up with a husband who would rather watch football or read a good book at bedtime than have sex with his wife.
    He would rather do anything other than take the chance of trying and then not being able to perform. He withdraws from his wife instead of discussing his problem and coming up with a solution to the problem.
    Then you have men who withhold sex as a form of punishment. Men who don’t communicate their dissatisfaction with something their wife has done but punish her by withdrawing from her sexually.
    Whatever the reason is, ignoring the sexual needs of your wife sets you up to one day have to deal with the pain of her cheating. When a woman feels her husband no longer wants her sexually, she feels deprived and uncared for. Feelings that may spur her into going outside the marriage to find what she needs.
Regardless of the reasons women cheat there are no excuses for being unfaithful. I had an email recently from a reader; he stated, “While no one ever twists the arm of a cheater to offend, does it not seem plausible that a spouse who dismisses overt dissatisfaction share some responsibility in paving the way for these things to happen?”
My response was “no.” No one is ever responsible for cheating but the cheater. If a wife is having problems with self-esteem, or feeling sexually deprived she has options open to her other than cheating. First, there should be effort put toward solving the marital problems. If that can’t be done there is divorce court. Anyone needing something they can’t find inside the marriage should wait until they are legally free before seeking it outside the marriage.
 
nashawishika kukubaliana na hili cause currently im on one of region at FS kuna chuo kimoja watot wa kike ni tatizo yaan wanafikia hatua ya kuuzana wao kwa wao emagine mzazi anajua anajua anasomesha mtoto wake wa kike kumbe anacho kifanya ni shida sasa huyu akipata kazi kijanja janja hiv unadhani ataishia wapi????????
 
Haujaelewa habari uliyoileta mwenyewe, nakala haisemi wanatoka zaidi nje ya mahusiano yao, inasema wamekuwa na wapenzi wengi zaidi. haijasema chochote kuhusu kutoka nje ya uhusiano, rekebisha bandiko lako.
 
Jamani hizi thread zenu sasa zinatufanya tuanze kujutia kuowa wasomi,maana kama mie mke wangu kusafiri hakuisi,hivi si watakuwa wanam-do sana jamani,dah haya bwana ila rorho inaniuma!:A S cry:
 
Haujaelewa habari uliyoileta mwenyewe, nakala haisemi wanatoka zaidi nje ya mahusiano yao, inasema wamekuwa na wapenzi wengi zaidi. haijasema chochote kuhusu kutoka nje ya uhusiano, rekebisha bandiko lako.
mkuu, article yote iliwekwa hapa na kama umeisoma ndio debate yenyewe. Na mategemeo ya mleta hoja ni kwa vile mazingira ilikofanyika hii tafiti kwa kiasi kikubwa yanashabiiana kwa kiasi kikubwa sana na hapa kwetu.
Sasa michango ya wanajamvi ita-justify haya hili tujue kama inafanana na hapa.
Kikubwa hapa inaonekana wachangiaji wengi wanasema hali hapa kwetu inaweza ikawa hata mbaya zaidi ya huko!

 
Back
Top Bottom