Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Wako wapi wanawake wife material?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au huku ni kwa wanaume tuWapo ila sio humu
Tupo mbona hapa Dar.Wako wapi wanawake wife material?
Wanapatikana makanisani sio mikoani au wilayani au popote nje ya kanisaniWako wapi wanawake wife material?
wewe ni mmoja wa wanawake waaminifu?Umesahau wasiopenda hela
😹
Atakula uume au? Kama mwanaume hela hana ? Hasa mijini?Umesahau wasiopenda hela
😹
😹😹Hili swali sijibu hapawewe ni mmoja wa wanawake waaminifu?
😂😂😂Hao hawapo kwa kweliUmesahau wasiopenda hela
😹
Nimecheka sana.
Hao church girls wana gono sugu utawakuta kwa pastor tonny na skinny jeansWanapatikana makanisani sio mikoani au wilayani au popote nje ya kanisani
Huko kwingine inakula kwako muda wowote
Hatupendi hela ila tunapenda kuhudumiwa jmni😁😁😂😂😂Hao hawapo kwa kweli
😂😂😂Wee sinunui mapenzi Mimi natafuta wenye vigezo hivyo hapoHao unaowatag wewe wapo futi sita chini ya kaburi. Waliobaki huku mtaani ni pasua kichwa. Tafuta pesa, tunza afya yako. Mapenzi yanauzwa