Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Tatizo mnapenda ma slyqueen lazma iwacost mnataka wanawake wanaopenda makuu wanawake wenye mambo mengi sisi akina sura za baba mnaona sio wanawake lazma iwacost

Wanawake wapo ila manao wataka ndo hao wanaumiza vichwa vyenu endeleen kuwangoja wengine mungu atawashushia
 
Kila mkoa una mambo yake, mkoa hutunzi mwenye sifa hizo, unamhitaji Mungu akusaidie kumpata mwenzi sahihi
 
Tatizo mnapenda ma slyqueen lazma iwacost mnataka wanawake wanaopenda makuu wanawake wenye mambo mengi sisi akina sura za baba mnaona sio wanawake lazma iwacost

Wanawake wapo ila manao wataka ndo hao wanaumiza vichwa vyenu endeleen kuwangoja wengine mungu atawashushia
Hapana wanawake wengi waliostaarabika wamepotea hata sura za baba siku hizi hawana utofauti na slay queen
 
Back
Top Bottom