Davidmmarista
JF-Expert Member
- Apr 11, 2024
- 1,367
- 2,451
Au huku ni kwa wanaume tuWapo ila sio humu
Tupo mbona hapa Dar.Wako wapi wanawake wife material?
Wanapatikana makanisani sio mikoani au wilayani au popote nje ya kanisaniWako wapi wanawake wife material?
wewe ni mmoja wa wanawake waaminifu?Umesahau wasiopenda hela
πΉ
πππ
Atakula uume au? Kama mwanaume hela hana ? Hasa mijini?Umesahau wasiopenda hela
πΉ
πΉπΉHili swali sijibu hapawewe ni mmoja wa wanawake waaminifu?
πππHao hawapo kwa kweliUmesahau wasiopenda hela
πΉ
Nimecheka sana.
Hao church girls wana gono sugu utawakuta kwa pastor tonny na skinny jeansWanapatikana makanisani sio mikoani au wilayani au popote nje ya kanisani
Huko kwingine inakula kwako muda wowote
Hatupendi hela ila tunapenda kuhudumiwa jmniπππππHao hawapo kwa kweli
πππWee sinunui mapenzi Mimi natafuta wenye vigezo hivyo hapoHao unaowatag wewe wapo futi sita chini ya kaburi. Waliobaki huku mtaani ni pasua kichwa. Tafuta pesa, tunza afya yako. Mapenzi yanauzwa