Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Wanawake watulivu waungwana, wasio cheat wacha Mungu, mko wapi?

Tupo ila tuna matatizo zaidi ya hayo 😂😩😭

1.Tunasumbuliwa na iron deficiency.
2.Hatupendi kufanya
3.Tunapenda ticktock
4.Tuna kisirani na maringo tuko moody 24/7 😅
5.Hatufanyi house chores

Utawezana? bora hao wanaocheat.
 
Tupo ila tuna matatizo zaidi ya hayo 😂😩😭

1.Tunasumbuliwa na iron deficiency.
2.Hatupendi kufanya
3.Tunapenda ticktock
4.Tuna kisirani na maringo tuko moody 24/7 😅
5.Hatufanyi house chores

Utawezana? bora hao wanaocheat.
😂Hawapo hivyo unanidanganya bhana
 
Hawapo!

Yupo mmoja alimuamini sana!

Alipokuja mama mkwe akaamua ku cheat Kwa hasira eti amejiona Hana thamani!!

Mitara ndio suluhisho!
 
Mmmh jina lenyewe qashy=cash


Pita mbali mita miaaa 🤣🤣🤣🚶🏼‍➡️🚶🏼‍➡️🚶🏼‍➡️🚶🏼‍➡️😊🏃🏼‍➡️🏃🏼‍➡️🏃🏼‍➡️🏃🏼‍➡️
😂😂Mbona unataka kunitoroka
 
Mwenyewe niko nawatafuta japo niopoe mmoja humu ili amfae kakangu lakini naona hamna🤒
 
Back
Top Bottom