Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

Mwanamke mzuri kwako, mbaya kwa mwenzako , mwanamke mbaya kwako mzurikwa mwemzako, hivyo ndivyo Mungu alivyo tutofautisha
Kubali ndug wazuri wapo na wabaya wapo ukitaka kuamin waulize wanawake wenyewe watakwambia.

[emoji375][emoji375]
 
Kubali ndug wazuri wapo na wabaya wapo ukitaka kuamin waulize wanawake wenyewe watakwambia.

[emoji375][emoji375]
Kwani nimekataaa aiseee jamaaa, ila utambue kwamba mbaya kwako mzuri kwa mwenzako
 
Naunga mkono hii hoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu na si wote wako hvyo kama unenavyo japo kwa asilimia kadhaa kuna ukweli

[emoji375][emoji375]
wanawake wabaya jamani wnajua akifanya upuuzi ndo basi tena hana bahati, maana kapata ndoa kama uongozi wa serikali ya mseto!!

ila mwanamke mrembo anajua mme akizingua kuna akina athuman, Bulaya001, na wengine wengi wote wanahitaji, hivyo kichwa lazima kimvimbe tuu!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yule wa mihala atakuwa mchepuko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama yule unayemuhofia wa mihamala y mpesa hahah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wewe ni mvivu wa kufikiri...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utakua mwanaume mpuuzi kuliko Maelezo ikiwa mkeo atakuzingua kisa uzuri wake eti ushindwe kumpiga chini!
Akizingua piga chini oa pini jingine tena limzidi uzuri aliyetangulia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…