Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kubali ndug wazuri wapo na wabaya wapo ukitaka kuamin waulize wanawake wenyewe watakwambia.Mwanamke mzuri kwako, mbaya kwa mwenzako , mwanamke mbaya kwako mzurikwa mwemzako, hivyo ndivyo Mungu alivyo tutofautisha
Kwani nimekataaa aiseee jamaaa, ila utambue kwamba mbaya kwako mzuri kwa mwenzakoKubali ndug wazuri wapo na wabaya wapo ukitaka kuamin waulize wanawake wenyewe watakwambia.
[emoji375][emoji375]
Naunga mkono hii hojaWanaume wenzangu mnatakiwa mtambue kwamba kuwa na mwanamke siyo kosa ila kuwa na mwanamke mbaya asiye kidhi vigezo vyako ni kosa lako mwenyewe usilaumu na kutamani wake za wenzako,
Mungu kaumba kila Aina za wanawake kazi ni kwako tu kuchagua yule atakaekufaa,
Kuna msemo wa kwamba hakuna mwanamke mbaya duniani ila mimi leo mr Zero IQ nakwambia kwamba wanawake wabaya wapo na wanaishi,
Unayemuona kwako mzuri basi kwa mwenzako anaweza kuwa mbaya sasa cha kufanya unatakiwa useme na Moyo wako,
Wewe moyo wako unatamani wanawake wenye chura kwa kujivunga unaenda kuoa mwanamke kimbau mbau kweli Tamaa itakuishia, migogoro itaisha kwenye Ndoa?
Moyo ukitaka tipwa tipwa tafuta liweke ndani, ukitaka mwenye chura kama snura tafuta Vuta weka ndani, ukitaka slim kama miss wema wa 2006 tafuta vuta weka ndani,
Ya nini udhulumu Nafsi yako.
CC Zero IQ
wanawake wabaya jamani wnajua akifanya upuuzi ndo basi tena hana bahati, maana kapata ndoa kama uongozi wa serikali ya mseto!!Sio kweli mkuu na si wote wako hvyo kama unenavyo japo kwa asilimia kadhaa kuna ukweli
[emoji375][emoji375]
Mkitembea unamtanguliza, au unawai mbele hatua kama hashim thabitHilo nalo neno, unaoa mke ambae hata kumwangalia usoni unajishauri[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Oa jini,Kwa sisi ambao tunabadilika badilika,leo unatamani mwenye chura,kesho mwembamba,mara mfupi siku nyingine mrefu unatushaurije?
Yule wa mihala atakuwa mchepuko?wanawake wanaostahimili mikiki ya ndoa ktk kila hali ni hawa wabaya, kuishi ktk ndoa na mwanamke mzuri inahitaji kipaji kikubwa mno, ndio maana wanawake walio wengi wazuri wamejaa mitaani bila ndoa, ila wabaya ndio wapo ktk ndoa.. kwanza mwanamke mwenye sura mbaya anauvumilivu wa hali ya juu ktk ndoa kuliko!!
OA MBAYA KUWA NA MCHEPUKO MZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahHivi kuna binadamu ambae kumuangalia usoni unajishauri? Watu mmejaaliwa maneno aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama yule unayemuhofia wa mihamala y mpesa hahahwanawake wazuri huringia uzuri wao.. tena wakipita mtaani wakasikia ile mirusi ya wanaume ya psii psii, ndio kabisaaa wanapatwa na vibumbuwazi, huwez kumuelezea kitu, huwez sema leo sina hela ya chakula wala ya mapodozi akakuelewa wakati huo. njiani kuna offer za mikuku zinamsubiria.. me naamin mwanamke mbaya ndie mjengaji, ila mwanamke mzuri ni mbomoaji, ukiona mwanamke mzuri katulia ktk ndoa jua ana umri zaidi ya 30+, na ashavunja ndoa si chini ya 5+ ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkilala usiku ukashtuka na kumcheki usoni hapo kitandani unaweza piga yowe kwamba umelala na zombieHilo nalo neno, unaoa mke ambae hata kumwangalia usoni unajishauri[emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wewe ni mvivu wa kufikiri...wanawake wanaostahimili mikiki ya ndoa ktk kila hali ni hawa wabaya, kuishi ktk ndoa na mwanamke mzuri inahitaji kipaji kikubwa mno, ndio maana wanawake walio wengi wazuri wamejaa mitaani bila ndoa, ila wabaya ndio wapo ktk ndoa.. kwanza mwanamke mwenye sura mbaya anauvumilivu wa hali ya juu ktk ndoa kuliko!!
OA MBAYA KUWA NA MCHEPUKO MZURI
Sent using Jamii Forums mobile app
wanawake wabaya jamani wnajua akifanya upuuzi ndo basi tena hana bahati, maana kapata ndoa kama uongozi wa serikali ya mseto!!
ila mwanamke mrembo anajua mme akizingua kuna akina athuman, Bulaya001, na wengine wengi wote wanahitaji, hivyo kichwa lazima kimvimbe tuu!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duuh wanaume Mungu anawaonaMkitembea unamtanguliza, au unawai mbele hatua kama hashim thabit
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha duuh wanaume wanashauriana kuoa wanawake wazuri, namimi nimepigilia msumariHivi kuna binadamu ambae kumuangalia usoni unajishauri? Watu mmejaaliwa maneno aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hahahaha, ndo ukweli,, kama nakupenda tunatembea bampa tu bampa