Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

Hakuna mwanamke mbaya,wote ni wazuri. Kinachowatofautisha ni kwamba kila mwanaume ana vigezo vyake katika kuchagua. Wengine akili za darasani,wengine akili za maisha, miguu,kia,sura nk.
Mimi kwa mwanamke anayejua kupika hata afanane na Semenya kwangu mzuri tu.
 
Haya mawazo cjui nan aliwaaminisha jamn. Wazuri ndo wa koa

[emoji375][emoji375]
Hahaha uoe mke ambaye anagongwa na kila mtu and she's proud of it? You must be insane man. Wanawake wazuri wanatamaniwa sana na kila mtu. Labda uoe kisha uwe unamfuga nyumbani tu awe haendi kazini. Ila kama anatoka toka wahuni watakutombea tu halafu amna kitu inaumiza kwenye ndoa kama kujua mke wako watu wanamtomba nje, yani aheri awepo nyumbani full time unakuwa na amani kidogo japo pia anaweza jiiba akapigwa mashine nje.
 
Hahaha hiki ndio wahuni tunahofia. Itakuwaje siku maisha yakiyumba? Atavumilia kweli huyu au ndio atageuka mashine ya kunimaliza na stress nife kabla ya umri. Je,ni mtu muelewa na msikivu huyu mwanamke. Yupo tayari kunilindia heshima hata nikiwa sina? Ataweza kule watoto wangu hata nikiwa sipo? Thats a type of wife all of us want to marry, hayo mengine mbwembwe za ujana tu!
 
Dah,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hata ukioa mbaya na sisi wahuni tutataka kujua huyo mmbaya lazima ana cha ziada kilichopelekea ukamuweka ndani,, so tutakitafuta tu hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli mkuu na si wote wako hvyo kama unenavyo japo kwa asilimia kadhaa kuna ukweli

[emoji375][emoji375]
Kwahio mkuu wewe ni mzuri na hauna tabia hizo zilizoainishwa hapo?
 
Na hata ukioa mbaya na sisi wahuni tutataka kujua huyo mmbaya lazima ana cha ziada kilichopelekea ukamuweka ndani,, so tutakitafuta tu hicho

Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri wabaya huwa waaminifu compared na wale ng'ae ng'ae ambao toto jeupe, shape ka Uwoya aisee. Jifunzeni hata kwa Dogo Janja basii!!! Si alioa mke mzuri sana, leo kiko wapi!
 
Dogo Janja anauwezo mkubwa wa kujibu hii mada. Naimani atakueleza kwa kina kwanini wenzake tunaoa wake wa kawaida yeye akaoa mke mzuri kweli. Kilichomtokea mwisho wa picha kiko wazi. So,usituone kama machizi kuoa mama za kawaida hizi.
 
Unadhani watu hawapendi kuoa wanawake wazuri mkuu...shida ni kuwa mwanaume unatongoza wanawake wazuri, hlf unakataliwa..sasa MTU inabidi uoe unachoweza kupata Zero IQ
Hahaha wanawake wazuri mbona ndio rahisi kuwapata kuliko hawa wenye sura za wajomba zao mkuu! Hebu noa skills zako za ushawishi!
 
Im also marrying Type 2. Ndio mwanamke nitakaeishi nae for good aisee!
Hao Type 1 labda ningekuwa Mo Dewj inshort kama una uhakika wa maisha yote kuwa hutayumba kifedha then date nao. Maana pesa yako ndio huwa inashikilia penzi, ikipungua au kukata umeishaaa my friend!
 
Nimekuelewa Mr.Zero IQ
Kipendacho roho kula nyama mbichi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wanawake wazuri yani wameumbika yani yani akipita watu asilimia 90 wanakubali kweli mwanamke ni kisu, hawa wanaume wengi tunaogopa kuoa kuogopa preshaa ila tunajipa ile 'nikipata hela nitawatafuna sana wanawake wa hivyo'
Wengi wanajikuta waona wanawake wa kawaida, hawa hawashtui kabisa, hata akipita story hazibadili wala shingo hazigeuki, huwa tunakimbilia kusema hawa wanatabia nzuri yani wametulia.
Kudi la tatu ndiyo wale wanaoitwa wabovu, yani hawa hata mtu kutambulisha huyu ndiyo wife wangu au mchumba wangu inakuwa ngumu, kwa maana hiyo jamii nzima na wenyewe binafsi wanajua kuwa chombo kibaya, hivyo basi ni kweli kuwa wazuri na wabaya wanaonekana tusijifiche kwenye ile 'Uzuri upo ndani ya jicho la mwenyekuona' ni uongo mkubwa.
 
Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…