Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

Wanawake wazuri wote tumeumbiwa sisi wanaume, kwanini ujifunge na kwenda kuoa mwanamke mbaya?

Kuna wanawake wazuri yani wameumbika yani yani akipita watu asilimia 90 wanakubali kweli mwanamke ni kisu, hawa wanaume wengi tunaogopa kuoa kuogopa preshaa ila tunajipa ile 'nikipata hela nitawatafuna sana wanawake wa hivyo'
Wengi wanajikuta waona wanawake wa kawaida, hawa hawashtui kabisa, hata akipita story hazibadili wala shingo hazigeuki, huwa tunakimbilia kusema hawa wanatabia nzuri yani wametulia.
Kudi la tatu ndiyo wale wanaoitwa wabovu, yani hawa hata mtu kutambulisha huyu ndiyo wife wangu au mchumba wangu inakuwa ngumu, kwa maana hiyo jamii nzima na wenyewe binafsi wanajua kuwa chombo kibaya, hivyo basi ni kweli kuwa wazuri na wabaya wanaonekana tusijifiche kwenye ile 'Uzuri upo ndani ya jicho la mwenyekuona' ni uongo mkubwa.
Naam
 
Back
Top Bottom