Wanawake wazuri wote wameolewa..

jamii01

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
1,983
Reaction score
1,423
Ninashida moja kila mwanamke nitakayemuona nimzuri na anamvuto kwangu naambiwa tayari alikwisha kuolewa au amechumbiwa..

Najiuliza kwa hiyo wanawake wabaya wote ndiyo hawajaolewa au kuchumbiwa?

Tambua hili Kama haujaolewa au kuchumbiwa na wewe nakuweka kwenye group la wanawake wabaya na wasiokuwa na mvuto kwangu..
 
Aiseee baba yangu mawazo yako ni dhaifu kama baba ri 1

ngoja nitembeze raundi ya mbege hapa
 
Aaah kumbe leo wikendi! cheers
 
acheni uongo wazuri hawajazaliwa sasa si utaoa vitoto vyako
Kwanza hawa mnaowaita wazuri si ndo wale kina. . wa maeneo fulani na magazetini au nakosea?
 
Bila shaka upo ktk balehe ya kwanza, sisi tuliozoea tunasema wazuri ni wengi na kila kukicha wanazaliwa, pia inabidi ujue maana ya uzuri wa mwanamke kimaana halisi.
 
if you want something done do it yourself, hivyo umba wanawake wazuri ambao utavutiwa nao lol

King'asti una post 9k, hongera
 
We kweli dodoso. Kama na wewe huna pesa hao wanawake wazuri utaishia kuwaona kwenye tv
 
Hehehehee shughuli ni watu haki ya Mungu!
 
The old adage goes '''Beauty is in the eye of the Beholder''.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…