Cyclopedia
Member
- Nov 11, 2015
- 25
- 41
Chukua accountability na upunguze ukicheche.Kwa nini ubebe mimba ya mtu ambaye hajaitaka!!
Kisa kinaanza kuna mwanamke mmoja (mchepuko) nilikuwa na mahusiano nao siku moja niliruka nao ila kabla ya sex ulinihakikishia kuwa una kijiti cha uzazi wa mpango ila kushangaza siku ya jana sina hili wala lile naona sms inaingia anadai ana ujauzito. Nilipohoji kuhusiana na kijiti alicho nacho anadai kiliisha muda toka tar 06/10. Na hapa wife pia ni mjamzito yaan nimebaki njia panda.
Tukiwatelekezea mimba tunaonekana wahuni ila mjue mwanaume huwa anahudumia pale alipodhamiria toka moyoniChukua accountability na upunguze ukicheche.
Japo ni kweli elimu ya afya ya uzazi bado ni changamoto.
Ujinga uliopitiliza 🤦♀️Tukiwatelekezea mimba tunaonekana wahuni ila mjue mwanaume huwa anahudumia pale alipodhamiria toka moyoni
Mtoa hana elimu ya kumwaga ndaniIla wanaumee, khaaaah
Ndo nn sasa hii?? Wee mwenyewe Elimu ya uzazi huna pia.
Kwa kweli.Mtoa hana elimu ya kumwaga ndani