kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
ukimwi changamoto isiyohitimishwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi nyakati hizo awe anakuongezea majukumu mengi ukikaa tu kitandani dakika 10 tu ukorome usingizini mithili ya Mtu aliyetoka kubeba zege 😅Yeye Hana shida, tatizo Mimi......🤣🤣🤣
AseeeUnajua kuna principle moja kwenye moja ya physchosocial model inasema "we are the product of our decision".
Turudi kwenye mada, wanawake wa kisasa ukiwa naye wanapenda kugegeduana pekupeku, yaani wanapenda kuisikilizia skin to skin vibaya sana, ila likija suala la kumshauri kutumia uzazi wa mpangilio (modern family planning method) wanaruka mita mia moja; utasikia zina madhara mengi, sitaki kunenepa n.k. OK basi tutumie protective gudget (ndom) utasikia siwezi, siwezi kabisa mimi, kwa hiyo ina maana huniamini eh! mimi ndom inanikwaruza, mwingine utasikia huwa inaniwasha n.k.
Kumbuka according to the aforementioned psychosocial models which state that we are the product of our own decision, unategemea nini sasa ukigegeduana kavukavu tena bila kutumia mpango wa Uzazi wa mpangilio, definetetly the product will be conception (ujauzito). Ni mawili ujikinge au uende kavukavu ila kila njia itatoa end product yake.
Swali langu ni dogo sana kwa wanawake na wanaume kama umekutana na situation hiyo. Swali kwa wanawanawake, je nyie mnataka nini sasa, mimba bila ndoa hamtaki, kuumiss mtwangio skin to skin hamtaki, kutumia basi medical protection (FP) hamtaki pia, sasa mnataka nini yarabi? .Kwa wanaume, je huwaga mnawahandle vipi wanawake wa namna hii.
Please hii ni mada ya wakubwa tu, kama wewe ni chini ya miaka 20 husichangie mada hii.
Inabidi nyakati hizo awe anakuongezea majukumu mengi ukikaa tu kitandani dakika 10 tu ukorome usingizini mithili ya Mtu aliyetoka kubeba zege 😅
Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.