Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

Robert Heriel Mtibeli

Platinum Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
40,153
Reaction score
93,069
WANAWAKE WENGI HUFIKIRI KILA MWANAUME ALIWAHI KUTOA BIKRA WAKATI WALIOKUTANA NA BIKRA NI WANAUME 2 KATI YA 10.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikia wanawake pindi wakiambiwa mambo ya bikira, wanatoa hoja kuu mbili,
Mosi; wewe mwanaume unayo bikra?
Pili, Nyie nyie wanaume ndio waharibifu wa bikra. Wakidhani Kila mwanaume wanayeongea naye, na wanayemuona aliwahi kukutana na mwanamke bikira kingono.

2. Hoja yao ya tatu, ambayo hii inakuwaga hoja ya hasira na dalili ya kukata tamaa. Watakuuliza Mamaako aliolewa akiwa na bikra. Basi wenyewe wanaona wameongea Jambo la maana.

3. Wanasahau Mama naye ni mwanamke, kama alifanya makosa haimuondoi kwenye kundi la haohao wanawake wenzake.

4. Wanasahau kwamba vijana hawaoi mama zao. Kama Mama alikuwa Malaya haimaanishi kijana aoe mwanamke Malaya.

5. Hivyo ni dalili za kukata tamaa.

6. Iko hivi. Hata humu JF na mitandaoni au mtaani ukisema ufanye utafiti Mdogo utagundua wanaume wengi hawajawahi kukutana na wanawake bikira.

7. Ndio maana asilimia kubwa watakuambia bikira hazipo. Na sio kwamba kweli hazipo. Zipo ila hawajakutana nazo.

8. Wanaume wachache Sana. Sana ndio wamewahi kukutana na wanawake bikira.

9. Unakuta mwanaume mmoja anatoa bikira kumi pekeake. Na hii NI kutokana na Tabia za wanawake wa teenage

10. Wanawake teenage yaani wanaopevuka waliochini ya miaka 20 wengi wao huvutiwa na wanaume bad boy, wanaume waharibifu kuliko kuvutiwa na wanaume waadilifu.

11. Utashangaa kakijana hapo mtaani kasiko na mbele wala nyuma, kazi yake ni kuvaa na swaga za kitoto ndio kanatembeza rungu na kuharibu mabinti wa mtaani au kijiji karibu nusu yao.

12. Mabinti wengi wa umri WA kupevuka wanatamaa ya vitu. Hivyo wengi hujikuta wakitolewa bikra zao kwa sababu ya umaskini, njaa, na tamaa ya vitu kama nguo,mafuta na pesa za pocket money ya shule.

13. Demu kapewa visheti na andazi kaachia mzigo. Demu kapewa kiepe yai kaachia mzigo. Vitu ambavyo havifiki elfu 10 ndio zimetoa bikira nyingi.

14. Ndio maana Sisi watibeli tunashangazwaga Sana na wanaume wanaolizwa na wanawake. Au kulizwa kisa mapenzi.

15. Binti ambaye bikra yake ya thamani ilitolewa kwa gharama ya visheti, au chips anakubabaishaje?

16. Yaani utake kujiua kisa binti ambaye wengine walijipakulia na kuona ni shamba la bibi? Yaani hata wazazi wako watakushangaa Sana. Ni hatua ya juu ya kujidharau

17. Unalia mwanamke amekuacha. Alafu sio ajabu wewe ni wakumi na kitu huo. Unaumia na kulizwa na nini? Je ungembikiri wewe?

18. Kitu pekee ambacho ni uhakika wanaaume wanaotoa Wanawake bikra au kuoa wanawake katika ubikira wao wengi wao hawaumizwi wala kujisikia vibaya wakiachana na wapenzi wao.
Ila wale wanaochukua baadaye ndio huumia sijui inakuwaga ni nini.

19. Wewe badala uhangaike kutafuta pesa. Kusuluhisha mambo yako ya kiuchumi. Uhangaishwe na pesa unahangaikia vitu ambavyo wenzako walijilia vya thamani vikiwa vipyaaa! Na wakapita hivi. Hivi zimo kweli?

20. Vijana mjitambue. Mwanamke akikuambia mnaoharibu mabinti ni nyie wanaume.
Mwambie unaharibu vilivyoharibiwa. Na hukumkuta na bikra sio asikufanye unahatia.

21. Mwanaume unakuwa na hatia pale unapomchezea Mwanamke uliyemkuta bikra ambaye hakuchezewa. Umemkuta kajitunza alafu unataka kumharibu.

22. Lakini kama hukukuta Bikira wala hutapata laana wala huna hatia yoyote. Kwani unachezea vilivyochezewa. Unaharibu vilivyoharibiwa.

23. Heshimu vilivyojiheshimu. Tunza vilivyojitunza. Vitakase vilivyo safi.

24. Ikitokea umempa nafasi mwanamke asiye bikra ukamfanya mkeo. Mwambie tokeo mwanzo kabisa ajue kuwa hiyo kwake ni bahati na umemfanyia wema. Kumchukua akiwa Hana zawadi ya mwali kwa mumewe( Bikira). Ajue.

25. Hataki au anaona kama unamnyanysa kwa kusema ukweli. Mwambie apite kushoto.

26. Kwa sisi Watibeli, wazee wa brotherhood, manhood, na fatherhood moja ya mambo ambayo kabla hujamuoa binti lazima umuulize mwanamke ujue mtazamo wake kuhusu ishu za ubikira(Virginity), lazima ujue mtazamo wake kuhusu kutoa mimba (abortion), body count, masuala ya uzalishaji Mali n.k. kutokea hapo utajua hapo umepata mke au hakuna kitu.

27. Ndivyo watibeli tulivyo. Tunajua mambo haya ni magumu kwa wengi lakini Siku zote ugumu ndio njia salama

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
WANAUME.
  • waliokutana na bikra, utawajua tu ukiona comments zao.
  • ambao hawajawahi kukutana nazo, pia utawajua tu ukiona comments zao.

WANAWAKE.
  • ambao kwao bikra sio ishu, utawajua tu ukiona comments zao.
  • ambao kwao body count ni big deal, pia utawajua tu ukiona comments zao.
  • na ambao kwao body counts sio ishu, pia utawajua tu ukiona comments zao.

My TAKE.
Ni wazi hakuna mtu anayependa mtumba, wote tunapenda vipya (special) .
Sawa, najua kuna mtu kimoyomoyo atasema "mtumba ni imara zaidi" , ila tukumbuke kwamba mtumba ilikuwa special huko ilipotoka.

Wengi wanapenda vipya (iwe ni simu, gari, n.k) ila kuna circumstances tofauti tofauti zafanya tukose vipya na We gotta live with what we got.

Uwezekano wa kupata bikra huwa unapungua kadri umri wa msichana unavyoenda.
So, ukitaka chance kubwa ya kupata bikra, jaribu kuswing na girls wa 18 to 21.

Mapenzi yashakuwa ni MBIO ZA VIJITI, kimbiza mkishindwana mnaachia wengine.

Mtu anaweza kuwa anayo bikra ila usimpende, na mwingine asiwe na hiyo bikra na ukampenda.

Japo ungetamani huyo umpendae ndiye awe bikra.
Sabb KUFANYA UZINDUZI kwa umpendae, KUNA RAHA YAKE.
 
WANAWAKE WENGI HUFIKIRI KILA MWANAUME ALIWAHI KUTOA BIKRA WAKATI WALIOKUTANA NA BIKRA NI WANAUME 2 KATI YA 10.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Mara kadhaa nimekuwa nikiwasikia wanawake pindi wakiambiwa mambo ya bikira, wanatoa hoja kuu mbili,
Mosi; wewe mwanaume unayo bikra?
Pili, Nyie nyie wanaume ndio waharibifu wa bikra. Wakidhani Kila mwanaume wanayeongea naye, na wanayemuona aliwahi kukutana na mwanamke bikira kingono.

2. Hoja yao ya tatu, ambayo hii inakuwaga hoja ya hasira na dalili ya kukata tamaa. Watakuuliza Mamaako aliolewa akiwa na bikra. Basi wenyewe wanaona wameongea Jambo la maana.

3. Wanasahau Mama naye ni mwanamke, kama alifanya makosa haimuondoi kwenye kundi la haohao wanawake wenzake.

4. Wanasahau kwamba vijana hawaoi mama zao. Kama Mama alikuwa Malaya haimaanishi kijana aoe mwanamke Malaya.

5. Hivyo ni dalili za kukata tamaa.

6. Iko hivi. Hata humu JF na mitandaoni au mtaani ukisema ufanye utafiti Mdogo utagundua wanaume wengi hawajawahi kukutana na wanawake bikira.

7. Ndio maana asilimia kubwa watakuambia bikira hazipo. Na sio kwamba kweli hazipo. Zipo ila hawajakutana nazo.

8. Wanaume wachache Sana. Sana ndio wamewahi kukutana na wanawake bikira.

9. Unakuta mwanaume mmoja anatoa bikira kumi pekeake. Na hii NI kutokana na Tabia za wanawake wa teenage

10. Wanawake teenage yaani wanaopevuka waliochini ya miaka 20 wengi wao huvutiwa na wanaume bad boy, wanaume waharibifu kuliko kuvutiwa na wanaume waadilifu.

11. Utashangaa kakijana hapo mtaani kasiko na mbele wala nyuma, kazi yake ni kuvaa na swaga za kitoto ndio kanatembeza rungu na kuharibu mabinti wa mtaani au kijiji karibu nusu yao.

12. Mabinti wengi wa umri WA kupevuka wanatamaa ya vitu. Hivyo wengi hujikuta wakitolewa bikra zao kwa sababu ya umaskini, njaa, na tamaa ya vitu kama nguo,mafuta na pesa za pocket money ya shule.

13. Demu kapewa visheti na andazi kaachia mzigo. Demu kapewa kiepe yai kaachia mzigo. Vitu ambavyo havifiki elfu 10 ndio zimetoa bikira nyingi.

14. Ndio maana Sisi watibeli tunashangazwaga Sana na wanaume wanaolizwa na wanawake. Au kulizwa kisa mapenzi.

15. Binti ambaye bikra yake ya thamani ilitolewa kwa gharama ya visheti, au chips anakubabaishaje?

16. Yaani utake kujiua kisa binti ambaye wengine walijipakulia na kuona ni shamba la bibi? Yaani hata wazazi wako watakushangaa Sana. Ni hatua ya juu ya kujidharau

17. Unalia mwanamke amekuacha. Alafu sio ajabu wewe ni wakumi na kitu huo. Unaumia na kulizwa na nini? Je ungembikiri wewe?

18. Kitu pekee ambacho ni uhakika wanaaume wanaotoa Wanawake bikra au kuoa wanawake katika ubikira wao wengi wao hawaumizwi wala kujisikia vibaya wakiachana na wapenzi wao.
Ila wale wanaochukua baadaye ndio huumia sijui inakuwaga ni nini.

19. Wewe badala uhangaike kutafuta pesa. Kusuluhisha mambo yako ya kiuchumi. Uhangaishwe na pesa unahangaikia vitu ambavyo wenzako walijilia vya thamani vikiwa vipyaaa! Na wakapita hivi. Hivi zimo kweli?

20. Vijana mjitambue. Mwanamke akikuambia mnaoharibu mabinti ni nyie wanaume.
Mwambie unaharibu vilivyoharibiwa. Na hukumkuta na bikra sio asikufanye unahatia.

21. Mwanaume unakuwa na hatia pale unapomchezea Mwanamke uliyemkuta bikra ambaye hakuchezewa. Umemkuta kajitunza alafu unataka kumharibu.

22. Lakini kama hukukuta Bikira wala hutapata laana wala huna hatia yoyote. Kwani unachezea vilivyochezewa. Unaharibu vilivyoharibiwa.

23. Heshimu vilivyojiheshimu. Tunza vilivyojitunza. Vitakase vilivyo safi.

24. Ikitokea umempa nafasi mwanamke asiye bikra ukamfanya mkeo. Mwambie tokeo mwanzo kabisa ajue kuwa hiyo kwake ni bahati na umemfanyia wema. Kumchukua akiwa Hana zawadi ya mwali kwa mumewe( Bikira). Ajue.

25. Hataki au anaona kama unamnyanysa kwa kusema ukweli. Mwambie apite kushoto.

26. Kwa sisi Watibeli, wazee wa brotherhood, manhood, na fatherhood moja ya mambo ambayo kabla hujamuoa binti lazima umuulize mwanamke ujue mtazamo wake kuhusu ishu za ubikira(Virginity), lazima ujue mtazamo wake kuhusu kutoa mimba (abortion), body count, masuala ya uzalishaji Mali n.k. kutokea hapo utajua hapo umepata mke au hakuna kitu.

27. Ndivyo watibeli tulivyo. Tunajua mambo haya ni magumu kwa wengi lakini Siku zote ugumu ndio njia salama

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
Mkuu, kama umeoa,mkeo anautofauti gani kwa sasa na hao wengine?
Bikra iko overrated sana na wewe.
Bikra ikishaondoka ni siku moja na hairudi.
 
Vitu vyote vinavyoondoka kwa mara moja vinathamani kuliko ambavyo haviondolewi kwa mara moja au viko renewable

Ukiona nafasi inayokuja zaidi ya mara moja mara nyingi ni less valuable.
Usijichanganye kijana.

Hata hivyo usijiingize kwenye mafundisho mapya yasiyo endana na silika yako ya asili.
Kama hukuumbwa hivyo wewe endelea na maisha jinsi ulivyo.
 
Haya tofauti na kujivunia ulimtoa bikira kuna kipi kingine cha ziada.
ambacho hao wengine hawana
 
Back
Top Bottom