Iko vyema,lakini je kutoa bikra ni dhambi au laana kama wengi wanavyosema? Maana wengine tulishafanya yetu
Daaah wewe dada kumbe upooWill you ever grow up? Mpaka 2026 unaongelea bikra! In this economy 😳
Ukiwa hujatuliza kichwa bikra hutazipata.ila zimejaa sana
Economy sio kila kitu, yaani breath in breath out .... economy economy.Will you ever grow up? Mpaka 2026 unaongelea bikra! In this economy 😳
Wamewaacha wengine wadhani bikira ni myth, jamaa ni wabinafsi.Kwa huu utafiti wako Kuna wanaume wametoa bikira nyingi sana!
Aisee pole kwa kuolewa bila bikra.High value man my foot.
Bila shaka ni watoto nyinyi.Huwezi kukuta mwanaume mzima mwenye akili zake anadiscuss mambo ya bikra ns the like, hata kwenye mazungumzo hayapo.
Ni utoto na fantasy tu ambazo hazina maana.
Watu wanaoa wanawake wenye watoto, sembuse hizo bikra, watu wanafanya uzinzi na uashetari mtaani huku na malaya sembuse hizo bikra.Sex life inaendelea kwa kificho bila hizo bikra na watu maisha yanaenda.
Hayo mambo ya bikra muwaachie vijana wa miaka 16 huko, ambao hata humu JF hawamo.Bikra haina jipya- VIJANA WAJUE KWA NINI WANAINGIA KWENYE MAHUSIANO, NA WACHAGUE WATU SAHIHI
Acha hao wanaume waoe hao wanawake wenye watotoHigh value man my foot.
Bila shaka ni watoto nyinyi.Huwezi kukuta mwanaume mzima mwenye akili zake anadiscuss mambo ya bikra ns the like, hata kwenye mazungumzo hayapo.
Ni utoto na fantasy tu ambazo hazina maana.
Watu wanaoa wanawake wenye watoto, sembuse hizo bikra, watu wanafanya uzinzi na uashetari mtaani huku na malaya sembuse hizo bikra.Sex life inaendelea kwa kificho bila hizo bikra na watu maisha yanaenda.
Hayo mambo ya bikra muwaachie vijana wa miaka 16 huko, ambao hata humu JF hawamo.Bikra haina jipya- VIJANA WAJUE KWA NINI WANAINGIA KWENYE MAHUSIANO, NA WACHAGUE WATU SAHIHI
Nimezitao kadhaa...
Tukupe kombe ausio 😏😏😏😏!!Nimezitao kadhaa...
Nilijua tu...hahahaTukupe kombe ausio 😏😏😏😏!!
Mbona hata yako nimeinyofoa, ulikua kadogoo...Tukupe kombe ausio 😏😏😏😏!!
Unajikuta masta mwenyewe!!Nilijua tu...hahaha
Starring kwenye 1 mpaka 10 unashikilia namba zotree😄Mbona hata yako nimeinyofoa, ulikua kadogoo...
Kuna watu pia wanaua watu, je na wewe unaweza kuua kisa mtu Fulani ameua? Kuna watu wanakunywa sumu, wewe unaweza kunywa sumu kwa sababu wao wanakunywa sumu??High value man my foot.
Bila shaka ni watoto nyinyi.Huwezi kukuta mwanaume mzima mwenye akili zake anadiscuss mambo ya bikra ns the like, hata kwenye mazungumzo hayapo.
Ni utoto na fantasy tu ambazo hazina maana.
Watu wanaoa wanawake wenye watoto, sembuse hizo bikra, watu wanafanya uzinzi na uashetari mtaani huku na malaya sembuse hizo bikra.Sex life inaendelea kwa kificho bila hizo bikra na watu maisha yanaenda.
Hayo mambo ya bikra muwaachie vijana wa miaka 16 huko, ambao hata humu JF hawamo.Bikra haina jipya- VIJANA WAJUE KWA NINI WANAINGIA KWENYE MAHUSIANO, NA WACHAGUE WATU SAHIHI
Ziko wapi kijana wakat age 13 tayari kimemlambaWanaomaliza kidato cha nne nusu Yao Wana bikira hasa wanaoishi maeneo yasiyo ya mjini.
Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.
Kijana aliyechuo anaweza kutafuta binti aliyemaliza kidato cha nne anayesubiri matokeo.
Akifaulu kidato cha tano, wanakaa uchumba hata miaka mitatu. Binti atakuwa chuo kikuu.
Wanafanya official wanaenda kwa wazazi. Kisha wanaendelea na mambo yao.
Muhimu, Usimuache binti uliyemtoa bikira labda akuache yeye iwe kwa kukusaliti au yeye kukuambia mwenyewe kwamba ameona hamta-make.
Ila bikira zipo nyingi Sana.
Ziko wapi kijana wakat age 13 tayari kimemlamba