Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

Brotherhood, fatherhood na manhood ndio wanaelewa nazungumzia nini.
Na wale vijana wanataka kuwa wanaume wanaojithamini, wanaume wenye standards, wanaume ambao ni Wafalme, high value man.
High value man my foot.
Bila shaka ni watoto nyinyi.Huwezi kukuta mwanaume mzima mwenye akili zake anadiscuss mambo ya bikra ns the like, hata kwenye mazungumzo hayapo.
Ni utoto na fantasy tu ambazo hazina maana.
Watu wanaoa wanawake wenye watoto, sembuse hizo bikra, watu wanafanya uzinzi na uashetari mtaani huku na malaya sembuse hizo bikra.Sex life inaendelea kwa kificho bila hizo bikra na watu maisha yanaenda.
Hayo mambo ya bikra muwaachie vijana wa miaka 16 huko, ambao hata humu JF hawamo.Bikra haina jipya- VIJANA WAJUE KWA NINI WANAINGIA KWENYE MAHUSIANO, NA WACHAGUE WATU SAHIHI
 
nakala ifike kwa :
Natafuta Ajira
Ni kweli, bikira huwa zinatolewa kwa wingi na wanaume wachache. Wale walioanza mapenzi mapema kule std 7 mpaka olevel, na wa huku 25-35 wenye vijisent na wanapendelea dogodogo.

Sema wanawake wamejenga fikra kwamba kila mwanaume katoa bikira moja ndio maana ukiongelea bikira mbinu yao ya kujilinda ni kuuliza hizo bikira wametolewa na wakina nani. Wanafikiri kila mwanaume katoa bikira lakini uhalisia ni tofauti. Mwanaume anaweza kufika mpaka miaka 30 hajawahi kukutana na mwanamke bikira.

Bikira huwa zinatolewa na badboys, kuanzia umri wa mwanamke kuvunja ungo mpaka around 22. Baada ya hapo mwanamke atapitia mikononi mwa wanaume wengi. Akifika 30's ndipo anaanza kutafuta nice guy kama mpango wa kustaafu wakati anaelekea kwenye decline stage ya ubora wake.

Juzi juzi katika pita pita zangu niliona post ya tunda cappucino(sijawahi kujua umaarufu wake hasa unatokana na nini) anatafuta mume. Bila shaka ameshamaliza kufanya exporation kwenye dating pool.
 

Kwa uelewa wako unafikiri kwa nini Wafalme na Makuhani wanapooa sharti mwanamke awe Bikra?
Hatuzungumzii watu wakawaida.

Najua hujazaliwa familia za kifalme, kichifu so huelewi chochote kuhusu mambo hayo.

Labda mfano utakaouelewa ni huu;
Unafikiri kwa nini unapoenda kuchukua kitu kipya sokoni sealed ni Muhimu?
Au ukinunua kinywaji kama soda au bia lazima iwe imefungwa vizuri na wewe ndiye unataka uwe mtumiaji wa Kwanza?
Je wewe ni mtoto wa miaka 16 mpaka utake sealed products?

Kingine, mtoto wa miaka 16 anauwezo wa kukuzidi kwa mbali akili na uelewa na umri wako wa miaka 50.
 

πŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Wanafikiri Kila mwanaume wanayemuona aliwahi kutoa bikira hivyo wanawaona huo ndio utetezi wa kuwaweka wanaume kwenye Hatia.

Kumbe asilimia 90% ya wanaume hawana hatia ya uharibifu katika mapenzi. Isipokuwa ujinga wao na kukubali kubeba misalaba isiyowahusu.

MTU anaambiwa ni mharibifu wa wanawake. Alafu muda huo hajawahi kukutana na bikira huo uharibifu ameufanyiwa wapi?

Mwanamke anakulaumu umemchezea haphapo hukumkuta bikira mpaka unajiuliza nimemchezea vipi?
Sisi watibeli hatuulizwagi hayo maswali kwa sababu Tupo black- white.
 
Wengi ktk age range hiyo hawana bikra. Wanaanza mapema mno hiyo michezo nowadays.

Wanaomaliza kidato cha nne nusu Yao Wana bikira hasa wanaoishi maeneo yasiyo ya mjini.

Chunguzi zangu zinaonyesha hivyo.

Kijana aliyechuo anaweza kutafuta binti aliyemaliza kidato cha nne anayesubiri matokeo.
Akifaulu kidato cha tano, wanakaa uchumba hata miaka mitatu. Binti atakuwa chuo kikuu.
Wanafanya official wanaenda kwa wazazi. Kisha wanaendelea na mambo yao.

Muhimu, Usimuache binti uliyemtoa bikira labda akuache yeye iwe kwa kukusaliti au yeye kukuambia mwenyewe kwamba ameona hamta-make.

Ila bikira zipo nyingi Sana.
 
Will you ever grow up? Mpaka 2026 unaongelea bikra! In this economy 😳
Ni sahihi maana hata wanawake wanaongelea kuhusu pesa. Jamii inaona ni sawa mwanamke kusema hahitaji mwanaume asiye na pesa ila inamkashifu mwanaume akisema hahitaji mwanamke asiye bikira. Kwa upande wangu, kila mtu ana hitaji lake na standards zake na zinapaswa kuheshimiwa. Kama vile mwanamke ambavyo hawezi ku lower standards zake kwa mwanaume
 

Acha dozi uwaingie hasa wale wagonjwa sugu. Wasiopenda Ukweli watachukia Sana. Bahati nzuri ukweli haunaga simile wala kujali chuki za watu wenye kukataa ukweli
 
Okay
 
Iko vyema,lakini je kutoa bikra ni dhambi au laana kama wengi wanavyosema? Maana wengine tulishafanya yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…