Wanawake wengi hufikiri Kila mwanaume aliwahi kutoa bikra wakati waliokutana na bikra ni wanaume 2 kati ya 10

Aisee pole kwa kuolewa bila bikra.
 
Acha hao wanaume waoe hao wanawake wenye watoto
 
Kuna watu pia wanaua watu, je na wewe unaweza kuua kisa mtu Fulani ameua? Kuna watu wanakunywa sumu, wewe unaweza kunywa sumu kwa sababu wao wanakunywa sumu??

Jambo halisi sahihi kwa sababu watu Fulani wanafanya. Mimi naona kila mtu ana uchaguzi wa kuchagua na I anamtaka bila kuangalia chochote. Awe bikira, asiwe bikira, awe na mtoto au la, kila mtu ana uchaguzi wake.
 
Ziko wapi kijana wakat age 13 tayari kimemlamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…