Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Nakubaliana wewe kwa points zako isipokuwa ni vyema ukumbuke kuwa mwanamke na mtoto wapo attached kuanzia mimba inatungwa zygote stage, kichanga kinakua kwenye uterus hadi kinapokuwa kwenye kondo la nyumba (placenta) na mpaka kichanga kinazaliwa na hadi kichanga kinatenganishwa kwa kukatwa kitovu.

Bado mwanamke aliyejifungua ataendelea kumnyonyesha na kumkumbatia kichanga chake hadi kitakapokuwa. Kwa hiyo kinachomfanya mwanamke aondoke na watoto wake ni strong bond na attachment iliyokuwepo Kati ya mama na mtoto na si kwa sababu anakufikiria wewe mwanaume utamfuata.
 
Hakuna wanawake wapuuzi kama wanaobeba watoto na mwisho wa siku wanaanza kuwatukana na kuwasakama kwa ajili ya maugomvi ambayo hayawahusu.

Yani anatumia mtoto kuchukua pesa na kumtesa mume wake ila kiuhalisia anakuwa hamjali kwa ajili ya hasira zake
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabakaโ€ฆ ๐Ÿ˜น

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Kama watoto wako uliwazaa kwa baba mwingine acha awapige machine. Lakini kama ni damu yake basi atakua ni mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ