min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Noma sana mkuu inahitaji muda na nafasi kueleza hayo broIlifikaaje hatua hiyo, kutoka mapenzi motomoto hadi kuamua kuwa pamoja hadi lawama kila siku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Noma sana mkuu inahitaji muda na nafasi kueleza hayo broIlifikaaje hatua hiyo, kutoka mapenzi motomoto hadi kuamua kuwa pamoja hadi lawama kila siku.
😹😹 Ntamkodisha chef Mwachiluwi awapikie misapta sapta 🤣Sio wanaume wote wanakuwa hivyo jirani.
Kesho tunafuturu kwako
Igweeeeeeeee 😹Ni wagonjwa wa akili kasoro ward ndizo zimetofautiana
Ila uyo mpare ashibagi uyo😹😹 Ntamkodisha chef Mwachiluwi awapikie misapta sapta 🤣
Aje atumenyee na ndizi 😂😹😹 Ntamkodisha chef Mwachiluwi awapikie misapta sapta 🤣
Ndizi mzuzu au mshale 😹😹Aje atumenyee na ndizi 😂
Wapare wote hawashibi 😹😹Ila uyo mpare ashibagi uyo
Ndio kabisa hawashibi baoWapare wote hawashibi 😹😹
Ndizi mshale jiraniNdizi mzuzu au mshale 😹😹
BABA YAKO AMELAZWA MILEMBE WODI NAMBA NGAPI AU ALISHAKUFA KWA UGONJWA WA AKILI? NA ULIMZIKA LINI?Wanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Kabisa alafu niache watoto huo usingizi nitaupata kweli huko niendako?Binafsi siwezi kuachana na mwanaume nikamwachia watoto Bila kujiridhisha watakua chini ya uangalizi wa Nani.
100 % iko hivyo wanaume hatupendi kukaa na pasua kichwaWatoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.
Zingatia, Wanaume wengi hujiona wanawajibu Kwa wale anaowaona. Yaani waliokaribu Yake ndîo Huona umuhimu waô kuliko waliombali, asiowaona. Kisaikokojia Mwanaume huchukua hatua na kufanya reactions Kwa Kuona. Yaani macho yanaathari kûbwa Kwa Mwanaume.
Ni Kosa la kiufundi Kwa Mwanamke kutokujua Saikolojia hii.
Hata ukiwa Mke WA Ndoa, kadiri unavyokuwa Karibu na Mumeo ndivyo wajibu wa Mwanaume huyo kwako unaongezeka.
Wanawake wengi hufanya Makosa ya kiufundi ndàni ya Ndoa. Mfano, wamegombana kidôgo na Mumewe anafungasha virago anaondoka.
Hilo ni Kosa la kiufundi.
Mwanaume hanaga Muda wa kukufikiri ukiwa Mbali naye. Weka akilini hiyo.
Mwanaume anakuwa na stress pale anapokuona hauna Raha, umenuna, au haujala kisa yeye hajatafuta Hana Pesa. Na wengi hufa mapema Kwa sababu hiyo.
Unapogombana na Mwanaume ukabaki hapohapo Usiku hawezi Kulala vizuri. Lakini ûkienda kwèñu au ukiondoka nakuhakikishia atalala usingizi mtamu na haitachukua Muda atakusahau.
Mwanaume anapokufukuza nyumbani kwàke lengo lake kuu ni awe na Amani na utulivu Kwa sababu ukiendelea kukaa pale Wakati mmegombana Moyo wake hautakuwa na furaha, kula hatakula Vizuri, Kulala hatalala, akienda Bar anakuwaza tuu wewe. Anawaza atarudije nyumbani.
Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi yàani ya zaidi ya Asilimia 90% waliojaribu kukimbia Nyumba hawakupigiwa Simu na waume zào ili warudi.
Wanawake Baadhi Yao walirudi wènyewe Kwa aibu na Hasira kuwa hata wakiondoka Mwanaume Hana uhitaji kihivyo.
Wanaume hufuatilia Wake Zao wakiwa chini ya Mmiliki Yao yàani nyumbani Kwa Mume lakini Mke akishaondoka Mume anasahau kama yeye ni Mume na Uhuru wake huongezeka.
Kûna Wanawake hufikiri akiondoka na Watoto ndîo Mume atamfuata.