Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Hakuna mwanamke anayependa mtoto/watoto wakr walelewe na mtu mwingine zaidi yake. Hivyo kuondoka na watoto wake ni kwasababu anajiamini yeye tu ndie mwenye mapenzi na huruma na watoto wake.

Kuondoka tutaondoka tu maana hata sisi tunaitaka hiyo amani ya moyo. Eti "usipokula kwa ajili yake" weeeeeh🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Du,mwamba umepiga pale pale kwenye mchilizi wa mbele.
Hii iwafikie wenye mbususu na wajifunze how to handle their husband.
 
Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.

Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.

Zingatia, Wanaume wengi hujiona wanawajibu Kwa wale anaowaona. Yaani waliokaribu Yake ndîo Huona umuhimu waô kuliko waliombali, asiowaona. Kisaikokojia Mwanaume huchukua hatua na kufanya reactions Kwa Kuona. Yaani macho yanaathari kûbwa Kwa Mwanaume.

Ni Kosa la kiufundi Kwa Mwanamke kutokujua Saikolojia hii.

Hata ukiwa Mke WA Ndoa, kadiri unavyokuwa Karibu na Mumeo ndivyo wajibu wa Mwanaume huyo kwako unaongezeka.

Wanawake wengi hufanya Makosa ya kiufundi ndàni ya Ndoa. Mfano, wamegombana kidôgo na Mumewe anafungasha virago anaondoka.

Hilo ni Kosa la kiufundi.

Mwanaume hanaga Muda wa kukufikiri ukiwa Mbali naye. Weka akilini hiyo.

Mwanaume anakuwa na stress pale anapokuona hauna Raha, umenuna, au haujala kisa yeye hajatafuta Hana Pesa. Na wengi hufa mapema Kwa sababu hiyo.

Unapogombana na Mwanaume ukabaki hapohapo Usiku hawezi Kulala vizuri. Lakini ûkienda kwèñu au ukiondoka nakuhakikishia atalala usingizi mtamu na haitachukua Muda atakusahau.

Mwanaume anapokufukuza nyumbani kwàke lengo lake kuu ni awe na Amani na utulivu Kwa sababu ukiendelea kukaa pale Wakati mmegombana Moyo wake hautakuwa na furaha, kula hatakula Vizuri, Kulala hatalala, akienda Bar anakuwaza tuu wewe. Anawaza atarudije nyumbani.

Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi yàani ya zaidi ya Asilimia 90% waliojaribu kukimbia Nyumba hawakupigiwa Simu na waume zào ili warudi.

Wanawake Baadhi Yao walirudi wènyewe Kwa aibu na Hasira kuwa hata wakiondoka Mwanaume Hana uhitaji kihivyo.

Wanaume hufuatilia Wake Zao wakiwa chini ya Mmiliki Yao yàani nyumbani Kwa Mume lakini Mke akishaondoka Mume anasahau kama yeye ni Mume na Uhuru wake huongezeka.

Kûna Wanawake hufikiri akiondoka na Watoto ndîo Mume atamfuata.
Kuja jilani yangu hapa mkewe wa ndoa kabeba vitu vyote vya ndani, kabeba vyeti vya ndoa kaondoka kwake, mumewe na yeye kajifanya hakuna kilichotokea kahamia mtaa mwingine ni mwaka sasa hata mawasiliano na mkewe hana alimwambia neno moja tu umeondoka kama maji.
 
"Huo wali unaochezea, Baba yako anaijua bei ya mchele?" Alisikika dada mmoja aliyeachika.
 
Una mtindio wa ubongo wewe! Sio bure! Kama mumeo alikuwa chizi usitufananishe naye!
Na machizi lazima wapanic, pole mkuu kunywa maji mengi kichaa haupo peke yako..!! 😹
 
Wanaume walevi linapokuja suala la bichwa la chini hamjui hao km watoto zenu…!!
Halafu unakuta humwamini baba watoto wako,halafu unakuja kumwamini huyo uliye nae na kumlazimisha apende na watoto wako na sometimes mnwachia watoto. Baba wa kambo mnaodate nao wengi wao mtaani wana kesi nyingi za kula kuku na vifaranga vyake.
 
Ni wachache wenye dhana hiyo! Lakini wanawake wengi wanaondoka na watoto kwa sababu wanaamini kuwa wanaume hawana uchungu nao kuliko wao! Kwa sababu hiyo wanaamini hawawezi kuwatunza ipasàvyo kitu ambacho ni sahihi.
Mama ndiye mwenye uchungu zaidi na mtoto kuliko baba.
 
Huu uzi umefumua vidonda vya single mothers kadhaa humu, si kwa matusi ninayoyaona humu ktk comments. Mtoa Uzi usirudie tena Uzi kama huu....matusi yamekuwa mengi mno.
 
Ni wachache wenye dhana hiyo! Lakini wanawake wengi wanaondoka na watoto kwa sababu wanaamini kuwa wanaume hawana uchungu nao kuliko wao! Kwa sababu hiyo wanaamini hawawezi kuwatunza ipasàvyo kitu ambacho ni sahihi.
Mama ndiye mwenye uchungu zaidi na mtoto kuliko baba.
Upo sahihi kabisa
 
Ni kweli kipindi nipo na mama wa toto hapo kwa hapo inabidi nizimue kila siku ili nizipuuzie lawama zake za kila saa
Ilifikaaje hatua hiyo, kutoka mapenzi motomoto hadi kuamua kuwa pamoja hadi lawama kila siku.
 
Back
Top Bottom