Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Hoja ina ukweli hasa upande wa mwanamke. Upande wa watoto kwa kweli tufikirie mara 2, 2. Watoto wanatupenda nasi tuwapende japo wanaweza kuwa mbali. Japo wanaweza kulishwa maneno. Ceteris paribus, be close to your children
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Mwanaume malaya hawezi kubaka mtoto wake au mtoto wa mwenzie. Malaya hawa tabia ya kubaka.
 
Napendekeza mkt wa wanaume Taifa,akupe cheo Cha uenezi,sera na uwezeshaji!
 
Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹

Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Mwanaume anayeweza kubaka watoto (wawe wa kuzaa au siyo) atakuwa na matatizo makubwa sana ya akili na anastahili adhabu ya kifungo cha maisha. Hki kisingizio cha mwanamke kusema anaogopa kuwaacha watoto wake kwa mumewe kwa sababu ''anaogopa atawabaka'' hutumiwa sana na wanawake waliokulia kwenye maisha ''rough'' ambako hakuna ustaarabu na zinaa ni jambo la kawaida. Infact ukishaona mwanamke anawaza namna hii basi ujue yeye ana mumewe lazima kuna matatizo makubwa kabisa. Hivi baada ya wewe mama, ni nani zaidi unaweza kumwamini kulea watoto wako? Kama siyo mwanaume uliyezaa naye basi ujue kati yenu kuna mwenye matatizo sana.
 
Pia wanawake huwa wanaondoka na watoto Kama ngao au kiunganishi Cha mawasiliano na matumizi fulani maana wengi wao huwa wanakua hawana uhakika na wanakoenda akiwa na mtoto anajua hata akisema anaumwa lazima utatuma tu pesa za kuhudumia hata Kama haumwi
Navojua ni wanawake wachache sana waliobeba mimba wakazaa afu aamue kuondoka aache watoto wadogo, hata kama hajui watakula nini atawabeba tu
 
Yupo hapa vile ananiona Niko karibu na Binti zangu wananipenda nawapenda eti ananiambia " siku nikiondoka nao utanikumbuka" kimoyo moyo nacheka tu hihihihi ungejua!!
 
Back
Top Bottom