Hebu oa huko!!Naunga hoja mkono, na mara nyingi wanaokataa ndoa huitafuta hii amani ya moyo.
🤣🤣🤣 Hakika hakikaInashangaza wanaume ndo wamekua wasemaji wetu wanawake 😹😹
Tar 8 tuwape jukwaa watutolee kero zetu.!
Kuja jilani yangu hapa mkewe wa ndoa kabeba vitu vyote vya ndani, kabeba vyeti vya ndoa kaondoka kwake, mumewe na yeye kajifanya hakuna kilichotokea kahamia mtaa mwingine ni mwaka sasa hata mawasiliano na mkewe hana alimwambia neno moja tu umeondoka kama maji.Watoto uliowazaa wanaumuhimu Kwa Mwanaume pale unapoishi naye. Weka akilini hiyo.
Weka na hii Hapa, Mwanamke anaumuhimu Kwa Mwanaume pale wanapoishi Pàmoja.
Zingatia, Wanaume wengi hujiona wanawajibu Kwa wale anaowaona. Yaani waliokaribu Yake ndîo Huona umuhimu waô kuliko waliombali, asiowaona. Kisaikokojia Mwanaume huchukua hatua na kufanya reactions Kwa Kuona. Yaani macho yanaathari kûbwa Kwa Mwanaume.
Ni Kosa la kiufundi Kwa Mwanamke kutokujua Saikolojia hii.
Hata ukiwa Mke WA Ndoa, kadiri unavyokuwa Karibu na Mumeo ndivyo wajibu wa Mwanaume huyo kwako unaongezeka.
Wanawake wengi hufanya Makosa ya kiufundi ndàni ya Ndoa. Mfano, wamegombana kidôgo na Mumewe anafungasha virago anaondoka.
Hilo ni Kosa la kiufundi.
Mwanaume hanaga Muda wa kukufikiri ukiwa Mbali naye. Weka akilini hiyo.
Mwanaume anakuwa na stress pale anapokuona hauna Raha, umenuna, au haujala kisa yeye hajatafuta Hana Pesa. Na wengi hufa mapema Kwa sababu hiyo.
Unapogombana na Mwanaume ukabaki hapohapo Usiku hawezi Kulala vizuri. Lakini ûkienda kwèñu au ukiondoka nakuhakikishia atalala usingizi mtamu na haitachukua Muda atakusahau.
Mwanaume anapokufukuza nyumbani kwàke lengo lake kuu ni awe na Amani na utulivu Kwa sababu ukiendelea kukaa pale Wakati mmegombana Moyo wake hautakuwa na furaha, kula hatakula Vizuri, Kulala hatalala, akienda Bar anakuwaza tuu wewe. Anawaza atarudije nyumbani.
Uchunguzi wangu unaonyesha Wanawake wengi yàani ya zaidi ya Asilimia 90% waliojaribu kukimbia Nyumba hawakupigiwa Simu na waume zào ili warudi.
Wanawake Baadhi Yao walirudi wènyewe Kwa aibu na Hasira kuwa hata wakiondoka Mwanaume Hana uhitaji kihivyo.
Wanaume hufuatilia Wake Zao wakiwa chini ya Mmiliki Yao yàani nyumbani Kwa Mume lakini Mke akishaondoka Mume anasahau kama yeye ni Mume na Uhuru wake huongezeka.
Kûna Wanawake hufikiri akiondoka na Watoto ndîo Mume atamfuata.
Una mtindio wa ubongo wewe! Sio bure! Kama mumeo alikuwa chizi usitufananishe naye!Wanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Na machizi lazima wapanic, pole mkuu kunywa maji mengi kichaa haupo peke yako..!! 😹Una mtindio wa ubongo wewe! Sio bure! Kama mumeo alikuwa chizi usitufananishe naye!
Fanya majaribio ya kapu lako🤣Okay, ila sijawahi sikia hilo…!!
Wewe mwenye ushuhuda walivyokubomoa Yas ndio unajua vizuri 😹😹Fanya majaribio ya kapu lako🤣
Halafu unakuta humwamini baba watoto wako,halafu unakuja kumwamini huyo uliye nae na kumlazimisha apende na watoto wako na sometimes mnwachia watoto. Baba wa kambo mnaodate nao wengi wao mtaani wana kesi nyingi za kula kuku na vifaranga vyake.Wanaume walevi linapokuja suala la bichwa la chini hamjui hao km watoto zenu…!!
Ni wagonjwa wa akili kasoro ward ndizo zimetofautianaWanaume wote ni wagonjwa wa akili.!!
Upo sahihi kabisaNi wachache wenye dhana hiyo! Lakini wanawake wengi wanaondoka na watoto kwa sababu wanaamini kuwa wanaume hawana uchungu nao kuliko wao! Kwa sababu hiyo wanaamini hawawezi kuwatunza ipasàvyo kitu ambacho ni sahihi.
Mama ndiye mwenye uchungu zaidi na mtoto kuliko baba.
Nenda kashitaki kwenye dawati utasaidiwa 😄😄😄Mimi nimebaki na binti yeye yupo mkoa anaweweseka kila muda simu ila pesa ya matumizi hatumi😡
Sio wanaume wote wanakuwa hivyo jirani.Wanaondoka na watoto zao sababu wanajua mnaweza kuwabaka… 😹
Mwanaume mlevi mbwa, malaya muda wote anawaza mbususu.. unaweza kumuachia watoto??
Ilifikaaje hatua hiyo, kutoka mapenzi motomoto hadi kuamua kuwa pamoja hadi lawama kila siku.Ni kweli kipindi nipo na mama wa toto hapo kwa hapo inabidi nizimue kila siku ili nizipuuzie lawama zake za kila saa
Kule imejaa mifenist ile yenye vitambi inashambulia km nyuki🤣🤣🤣Nenda kashitaki kwenye dawati utasaidiwa 😄😄😄