Wanawake wengi huondoka na watoto wakidhani wanaume watawafuata. sijui nani aliwadanganya kuwa mwanaume mtego wake ni mtoto

Ilifikaaje hatua hiyo, kutoka mapenzi motomoto hadi kuamua kuwa pamoja hadi lawama kila siku.
Noma sana mkuu inahitaji muda na nafasi kueleza hayo bro
 
Huu mwaka wa 4 nimemkaushia hakuna kujb txt no call

Ngoja nidili na hawa wenye u.t.i shindilii
 
Binafsi siwezi kuachana na mwanaume nikamwachia watoto Bila kujiridhisha watakua chini ya uangalizi wa Nani.
Kabisa alafu niache watoto huo usingizi nitaupata kweli huko niendako?
 
100 % iko hivyo wanaume hatupendi kukaa na pasua kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…