welding1682
JF-Expert Member
- Aug 20, 2019
- 2,151
- 4,681
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa, ila nimeshuhudia Ndoa Kama tano zimevunjika, ukimuuliza mwanaume anakwambia dharau zilizdi ndani kisa hayo maneno!hata nyie wanaume pia msiwatamkie wanawake zenu 🌚
Zingatia kama umewahi kumwambia mume wako hizo kauli jitafakari Mara mbilimbili, kwa maana ukweli Ni kuwa anazo kichwani hata Kama Bado Ana sex na wewe ni muda tu anasubiri!Jinsia yenu ina matatizo sana kujikuta ni kamilifu,mbona na nyinyi mna kauli chafu kuzidi hata hizo ulizo andika.
Upo sahihi tena ukute ana uwezo wa kununu passo utakomaMwanamke ni kiumbe anayeogopwa sana na kiumbe mwanaume.
Kuna mtu analia huko ila amesahau kauli zake ndizo zilizo mponza,Kumekuchaaaa sasa huku!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na siku akiachwa unakuta analia mwenyewe.Mwingine ansema.. "Niache kama unaweza" 😀
Ni wachache mnaolipizaKwani ninyi mkiwa mnatutamkia huwa tunasahau?
ni sawa ila wanasema usichopenda kufanyiwa usimfanyie mwenzakosawa, ila nimeshuhudia Ndoa Kama tano zimevunjika, ukimuuliza mwanaume anakwambia dharau zilizdi ndani kisa hayo maneno!
Mikwara tu ,huna kifua kipana dogo subiri ufike age 40+Nilichokiona Ni kuwa wanawake wengi Wana kauli za kukera na Ni wepesi kusahau,
Kuna kauli ukimtamkia mume wako Katu hatasahau na Ana kuvutia kasj tu akupige tukio!
Eh💰Pesa itamridhisha ..
💰Pesa itamfanya asiseme mbona fulani wanazoo we huna..
💰Pesa itamfanya aachwe aende huko kama akijifanya anatongozwa na wengine...
Naam