Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo umri wa 40-50 ndiyo wanaongoza kwa vituko na kuachana!Mikwara tu ,huna kifua kipana dogo subiri ufike age 40+
Cha ajabu kipi hapo kuachana kupo hata kama ukiwa “BUBU”Zingatia kama umewahi kumwambia mume wako hizo kauli jitafakari Mara mbilimbili, kwa maana ukweli Ni kuwa anazo kichwani hata Kama Bado Ana sex na wewe ni muda tu anasubiri!
Sasa jamani hizo kauli za kawaida tuu....tatizo ego zetu vidume.Nilichokiona Ni kuwa wanawake wengi Wana kauli za kukera na Ni wepesi kusahau,
Kuna kauli ukimtamkia mume wako Katu hatasahau na Ana kuvutia kasj tu akupige tukio!
Nadhani Uzi uishie hapa.💰Pesa itamridhisha ..
💰Pesa itamfanya asiseme mbona fulani wanazoo we huna..
💰Pesa itamfanya aachwe aende huko kama akijifanya anatongozwa na wengine...
Kazi kweli kweli.Me demu wangu alinambia hv... "Yaan huwa nakuita mpenzi kwa kujikaza sana" hadi leo sikujua ana maana gan qmamaqe
Uzi ufungwe !! 😆😆Nadhani Uzi uishie hapa.
PESA ndio kila kitu
Wee tulia km moja pepo yenu ipo miguuni kwetu..mtuheshimu wanaume..!Jinsia yenu ina matatizo sana kujikuta ni kamilifu,mbona na nyinyi mna kauli chafu kuzidi hata hizo ulizo andika.
Wanawake wana maneno sana.Me demu wangu alinambia hv... "Yaan huwa nakuita mpenzi kwa kujikaza sana" hadi leo sikujua ana maana gan qmamaqe