Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

Mwanaume anaweza vumilia ndoa na mwanamke asiye na Kazi maisha yake yote na ndoa ikawa na amani.

Nitajie ndoa ambayo mwanamke amevumilia miaka 10 na mwanaume asiye na kazi na wakaishi Kwa amani
Hakuna pasi na shaka
 
Mungu ndivyo alivyoumba acha kelele
 
Mwanaume anaweza vumilia ndoa na mwanamke asiye na Kazi maisha yake yote na ndoa ikawa na amani.

Nitajie ndoa ambayo mwanamke amevumilia miaka 10 na mwanaume asiye na kazi na wakaishi Kwa amani
Wapo wachache mkuu yupo dada mmoja nadhani yupo tofauti sana mme wake alikua Eng alipatapata misuko suko ya kazi akaamua kuacha kazi yenyewe huku akijirafuta mke akapata dili hapo Kkoo la kuuza nguo za kutoka China anamwagiwa yeye mzigo wa kutosha yaani alikua anamheshimu mme wake kama vile ndie mwenye pesa nadhani ni makuzi tu ya baadhi ya hawa dada zetu ingawaje wengi wao wapo kundi hilo ulilosema.
 
Ukitaka kuiangamiza jamii mpe mwanamke uongozi kwenye jambo lolote, everything will fall aparty automaticaly
Mwanamke hakuumbwa awe kiongozi

Mwanzo 3:16
[16]Akamwambia mwanamke, Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako; kwa utungu utazaa watoto; na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, naye atakutawala.
Unto the woman he said, I will greatly multiply thy sorrow and thy conception; in sorrow thou shalt bring forth children; and thy desire shall be to thy husband, and he shall rule over thee.

Hapa ndipo haki sawa ilipoishiaga
Kabla ya hapo mbele za Mungu wote tulikuwa sawa.

Ila sasa ibilisi amepambana juu chini amerudisha tena
Sasa sio haki sawa
Ni haki kwa mwanamke tu
Hata takwimu za vita mwanaume hahesabiwi kama amekufa

Dunia nzima ipokinyume na mwanaume
Mwanaume ndie anaeteseka kwa sheria alizozipitisha kwa huruma

Adui wa mwanamke ni mwanamke
Adui wa mwanaume ni mwanamke

Mwanamke ndie adui kubwa
 
Mwanaume anaweza vumilia ndoa na mwanamke asiye na Kazi maisha yake yote na ndoa ikawa na amani.

Nitajie ndoa ambayo mwanamke amevumilia miaka 10 na mwanaume asiye na kazi na wakaishi Kwa amani
Haipo, haijawahi kuwepo na haitakuwepo. Mwezi tu vurugu ndani hazitaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…