ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Sisi hatuambiani face to face, tunayamwaga mitandaoni as hatujulikani. Wao sasa..Ni kweli, wanaofungua nyuzi wengi ni wanaume,
Lakini kutokulalamika sio kuvumilia, hivi ni vitu viwili tofauti.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi hatuambiani face to face, tunayamwaga mitandaoni as hatujulikani. Wao sasa..Ni kweli, wanaofungua nyuzi wengi ni wanaume,
Lakini kutokulalamika sio kuvumilia, hivi ni vitu viwili tofauti.
Ke: 'Baba mtumishi ndoa yangu inateketea jamani'Sisi hatuambiani face to face, tunayamwaga mitandaoni as hatujulikani. Wao sasa..
😆😆😆😆Tena hilo ndilo waanze nalo, maana ndilo lina balaa zaidi.
Umeandika kinyume mkuu, wanawake ndo mnavumiliwa.Ukisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya
Ukiona umetengwa na.ndugu kisa mke basi hujitambuiUmeandika kinyume mkuu, wanawake ndo mnavumiliwa.
Wanawake mnavuruga sana familia zetu, na kututenga mbali na ndugu zetu.
Wanawake wengi ni mizigo ya miiba haibebeki isipokua wachache wanaojitambua.
Hatujui wanawake mnapenda nini mkimpata mwanaume mwenye maokoto basi utatafuta mwanaume atakae kuwa na kazi ya kusugua kiharage, ukipata mwanaume ambae hana maokoto ila anakusugua kiharage mpaka kinanyauka basi utatafuta mwanaume mwenye maokoto wa pembeni n.kUkisoma mada nyingi humu wanaume wengi wanalalamika kuhusu ndoa zao
Msije mkadhani wanawake ni wabaya lah
Wanawake wengi wanasulubika vibaya mno sema hatulalamiki.
Tumeumbwa kuvumilia
Pia tunajua jinsi ya kupambana na changamoto
All in all mnaopitia changamoto za ndoa poleni sana.tafuta Amani ya moyo wako maisha ni haya haya
Wewe wasema bt uhalisia wa mambo tunaujua wanaume, migogoro mingi ya familia za waume zenu chanzo kikuu hua ni nyie.Ukiona umetengwa na.ndugu kisa mke basi hujitambui
Ndio mkatahiriwe sasaSasa huu s unyanyasaji wa kijinsia mbona uwaseme wasiotahiriwa🤣
Umeongea kwa hisia sana
Kuliwa na upendo wa dhati tunavumilia yote.Huwa mnavumilia yote gayo kukiwa na hela tu