Wanawake wengi ni wavumilivu kwenye maisha kuliko wanaume

Umeandika kinyume mkuu, wanawake ndo mnavumiliwa.

Wanawake mnavuruga sana familia zetu, na kututenga mbali na ndugu zetu.

Wanawake wengi ni mizigo ya miiba haibebeki isipokua wachache wanaojitambua.
 
Umeandika kinyume mkuu, wanawake ndo mnavumiliwa.

Wanawake mnavuruga sana familia zetu, na kututenga mbali na ndugu zetu.

Wanawake wengi ni mizigo ya miiba haibebeki isipokua wachache wanaojitambua.
Ukiona umetengwa na.ndugu kisa mke basi hujitambui
 
Hatujui wanawake mnapenda nini mkimpata mwanaume mwenye maokoto basi utatafuta mwanaume atakae kuwa na kazi ya kusugua kiharage, ukipata mwanaume ambae hana maokoto ila anakusugua kiharage mpaka kinanyauka basi utatafuta mwanaume mwenye maokoto wa pembeni n.k
 
Ukiona umetengwa na.ndugu kisa mke basi hujitambui
Wewe wasema bt uhalisia wa mambo tunaujua wanaume, migogoro mingi ya familia za waume zenu chanzo kikuu hua ni nyie.

Wanaume kabla ya kuoa hua na mahusiano mazuri na familia bt after ndoa mahusiano hutetereka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…