WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

WANAWAKE wengi TZ, wanaongoza kwa kufanya biashara ambazo hazina tija.

Shuku_

Senior Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
174
Reaction score
216
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽

Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa hazina tija.

Hapa siwazungumzii wanawake wote bali hawa wanawake ambao wanatumia UHUSIANO wa kimapenzi kama ndo mtaji wa biashara kwa waume zao.

Wanawake hawa ambao uhusiano huwa ni mpya au wa muda mrefu, huwa na tabia ya kuiga baadhi ya wanawake wenzao ambao wapo kwenye biashara zao bila kujua huyo mwenzie anaye muiga biashara yake, Je ina tija au lah!.
________________________

Pia hawa wanawake wana SILAHA yao ambayo uitumia kama anataka kufanyiwa jambo.

SILAHA hiyo ni maneno haya… KAMA UNA NIPENDA NIFANYIE HIKI NA HAIKI.

Ndugu msomaji, kwa kweli maneno hayo unaweza kuyaona kama ni ya kijinga ila cku ukitamkiwa hayo ndo utajua kuwa SILAHA au UJINGA.

Kutokana na usumbufu huo wa MKE au HAWALA kwa MUMEWE au HAWALA wake.

Hali hyo imekuwa ikiwalazimu hao waume zao wawafungulie biashara wake zao au hawala zao bila kujali huyo anayetaka kufunguliwa biashara ana uzoefu gani na biashara hiyo!

Hivyo biashara izo huwa ni mizigo kwa waume zao, maana utakuta mwanamke yupo kwenye biashara yake lakini hiyo biashara imekuwa kama kijiwe cha mwanamke huyo kwenda kushinda kutwa nzima kwa kupoteza muda kisha jioni kurudi nyumbani.

Utakuta mume ni muajiriwa au umejiajiri, unalazimika kuchukua PESA ktk shughuli yako huku ukijua kabisa hii biashara ambayo mke wangu anataka kwenda kuifanya hatatoboa.

Tena hizo biashara zao zimekuwa hazina hata uwezo wa kuwalisha chakula cha kutwa, hivyo biashara hizo zimekuwa ni mizigo kwa waume zao na mwishowe hufa.

Yaani mume unamfungulia biashara mkewe au hawala ila bado utalipa kodi pa1 na mambo mengine yanayohusu biashara hiyo.

Mfano wa biashara hizo ambazo hazina TIJA ni…

1• SALUNI YA KIKE.
2• DUKA LA NGUO.
3• DUKA LA VIPODOZI.
 

Attachments

  • 1717692454306.jpg
    1717692454306.jpg
    176.4 KB · Views: 12
Ivi maduka ya nguo na vipodozi huko Sinza na Mikocheni wanawezaje lipa kodi? Waweza kaa ata siku mbili bila watejaa
 
Ivi maduka ya nguo na vipodozi huko Sinza na Mikocheni wanawezaje lipa kodi? Waweza kaa ata siku mbili bila watejaa
Si kunakuaga na vyumba walau vya kuwasitiri sehemu wanazouza?
Hivyo vyumba ndo wengi huwadaidia kulipa kodi.
 
Ivi maduka ya nguo na vipodozi huko Sinza na Mikocheni wanawezaje lipa kodi? Waweza kaa ata siku mbili bila watejaa
Mengine ni madanguro,unakuta hiyo ni point ya appointment tuu,anakuja kaoga safi saa nne anaenda kupewa kichapo nyuma ya Vunja bei alafu lunch time anarudi tena dukani,Jiji Hilo Lina mambo.mengi
 
Back
Top Bottom