Balqior
JF-Expert Member
- Jun 8, 2021
- 2,406
- 8,039
Habarini
Nliingia kwenye insta story ya niffer, aliuliza wadada ni kitu gani kinafanya wawaheshimu zaidi wanaume walio nao, almost 95% of them walijibu maokoto, na their replies zilikua na umimi mwingi , me, me me, me, & me ananifanyia hiki.
Wadada wachache walisifu "utu wema k.v loyalty, uvumilivu" wa wanaume walio nao.
Tiririkeni na majibu ya baadhi ya wadada hapa chini
Huyu kidume mwingine hapa chini Hadi anaitwa msukuma, sijui msukuma kabila, au msukuma ushamba 😭
Huyu kidume mwingine hapa chini anahonga ila hapendwi 🥺
Huyu kidume ambae akiombwa hela na mdada anapiga kimya atakua Melancholic
Mambo ambayo Natafuta Ajira hataki kuyasikia😁
Ma legend tunapajua hapa, mengi yasiwe mambo after all relationships nyingi za ke na me ni biashara nowadays