Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Maisha ya kifamilia ya washauri wengi hayako vizuri kama wanavyopretend mtandaoni..wengi wao wanayofundisha ni tofauti na hali halisi wanayoishi mtaani..
Kama kwa mtume/nabii yule mwenye wafuasi wengi kwa wiki ametenga siku moja kwa akili ya kina mama kuwapa semina ya ndoa na inaonyesha kina mama wanaimprove kutokana na shuhuda kuhusu ndoa zao..cha ajabu na kushangaza mtume/nabii yeye mwenyewe ndoa ilimshinda mpaka mwanamke kasepa...ila anashiriki kikamilifu kurudisha ndoa za watu