mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Siku hizi ni rahisi mwanamke kuzungumza yanayitokea kwenye ndoa yao. Whatsap status imekua ndo chuch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha, duhWanawake wa kukopi na kupesti ya mtandaoni tupa kule. Akili zao zitawarudia jioni itakapofikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, wanafundisha uzoefu wa maisha yao ,anachanganya na story za ubaoni ,kitu na boksi
🤣🤣🤣Tumetofautiana..mimi rafiki angu kaolewa alinilalamika mmewe anapenda sex kila siku lazma amdai wasex..sasa nikashangaa ivi kumbe nina rafiki wa aina hio!!!.
Nilimshangaa sana.
Hapo ndiyo kimbembe, kuna mchungaji mmoja kijana maarufu sana mitandaoni. mkewe alitokea kuniamini na kunipa black and whites za jamaa, nilichokaNi kuwasikiliza tu ila matendo yao hayaendani na wanayofundisha
hapo ndiyo kimbembe,kuna mchungaji mmoja kijana maarufu sana mitandaoni. mkewe alitokea kuniamini na kunipa black and whites za jamaa,nilichoka
Nimejua kwa sababu ni jirani yangu. Unadhani wote tumemfahamu kupitia mitandao kama wewe, idiotSasa umajuaje kuwa ndoa yake inafuraha..unaishi nae? Nawewe hujielewei kabisa. Eti ndoa yake inafuraha kisa Ni mwansaikologia au Nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejua kwa sababu ni jirani yangu. Unadhani wote tumemfahamu kupitia mitandao kama wewe, idiot
Hata kwa manabii, wachungaji, mitume na Waganga Wanawake ndo wanakuwa victims Sana.Nimesoma comment
Hivi Kwanini wanawake wengi ndio Victims wa hayo magroup ya Mitandaoni na sio Sisi Wanaume ??
Natamani ungekuwa unaitwa #KagemuloNdoa yenye furaha unaiona kwenye picha?.. nilijuaga na Wewe una Akili kumbe juha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona inauaStupid wewe...hata Kama Ni jirani huwezi jua ndani wanaishije labda kama.huwa wanakuja kukuomba ushauri. Usifananishe mahusiano yako na yajirani eti kisa jirani wanashikana mikono. Ndo maana nakuona Juha usiejua KUCHANGANUA Wala kumbembua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sababu mwanamke ndio langoHata kwa manabii, wachungaji, mitume na Waganga Wanawake ndo wanakuwa victims Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndo wale wakiwaona mke na mume wameshonesha kitenge wanajua hawana matatizo wanaishi kama mbinguniStupid wewe...hata Kama Ni jirani huwezi jua ndani wanaishije labda kama.huwa wanakuja kukuomba ushauri. Usifananishe mahusiano yako na yajirani eti kisa jirani wanashikana mikono. Ndo maana nakuona Juha usiejua KUCHANGANUA Wala kumbembua mambo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jana nilikuwa naangalia movie ya kinaijeria. mke ameomba kufanyiwa maombi na pastor ndoa yake ina matatizo. pastor akapiga maombi na kunena kwa lugha. katikati ya maombi akamtaka mama avue nguo upako inabidi upitie sex. mama akagoma kidogo baadae akachojoa.Kabisa,Ukienda Kawe Jpili utawaona Weng mno wanatembea road. Nabakigi kusikitika tuu 😅😅
Au ndio isemavyo Wanawake hamna akili (sorry sio Mimi Nimesikia tuu😆) So ni easy kuingia Kwenye mtego
Sio hatuna Akili tunachangamoto nyingi zakimaisha kuliko wanaume. Kuwa Mwanamke sio kazi rahisi jamaniKabisa,Ukienda Kawe Jpili utawaona Weng mno wanatembea road. Nabakigi kusikitika tuu [emoji28][emoji28]
Au ndio isemavyo Wanawake hamna akili (sorry sio Mimi Nimesikia tuu[emoji38]) So ni easy kuingia Kwenye mtego