Mjasiri na Mali
JF-Expert Member
- Jun 24, 2017
- 5,366
- 14,167
Ni za kweli kabisa zile story za Iddi MakengoIdd makengo stori zake hazina uhalisia
Ndoa yenye furaha unaiona kwenye picha?.. nilijuaga na Wewe una Akili kumbe juha tuMimi nimekwambia mtafute chris. Huoni alivyo na ndoa yenye furaha
My life is mine to remember
Hooooly shitMafunzo yake yanachoma Kama pasi ila yanaukweli mtupu
Chris Mauki ni mfano wa kuigwaMaisha ya kifamilia ya washauri wengi hayako vizuri kama wanavyopretend mtandaoni..wengi wao wanayofundisha ni tofauti na hali halisi wanayoishi mtaani..
Kama kwa mtume/nabii yule mwenye wafuasi wengi kwa wiki ametenga siku moja kwa akili ya kina mama kuwapa semina ya ndoa na inaonyesha kina mama wanaimprove kutokana na shuhuda kuhusu ndoa zao..cha ajabu na kushangaza mtume/nabii yeye mwenyewe ndoa ilimshinda mpaka mwanamke kasepa...ila anashiriki kikamilifu kurudisha ndoa za watu
Wapi nimeongelea picha ?Ndoa yenye furaha unaiona kwenye picha?.. nilijuaga na Wewe una Akili kumbe juha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😂😂😂Sikutaka kucheka Ila nimejikuta tuNdoa yenye furaha unaiona kwenye picha?.. nilijuaga na Wewe una Akili kumbe juha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa umajuaje kuwa ndoa yake inafuraha..unaishi nae? Nawewe hujielewei kabisa. Eti ndoa yake inafuraha kisa Ni mwansaikologia au Nini?Wapi nimeongelea picha ?
Ndio maana mnapelekeshwa kama nyumbu
My life is mine to remember
Chris Mauki ni mfano wa kuigwa
My life is mine to remember
[/QUOTE
Usijaribu kumuiga mkuu endelea kufuata anayofundisha ila matendo yake yatakugharimu kwenye maisha yako yote
Hahahaha, huoni wenyewe wanasifiawanawake muamke
Hahahaha, wanafundisha uzoefu wa maisha yao ,anachanganya na story za ubaoni ,kitu na boksiMaisha ya kifamilia ya washauri wengi hayako vizuri kama wanavyopretend mtandaoni..wengi wao wanayofundisha ni tofauti na hali halisi wanayoishi mtaani..
Kama kwa mtume/nabii yule mwenye wafuasi wengi kwa wiki ametenga siku moja kwa akili ya kina mama kuwapa semina ya ndoa na inaonyesha kina mama wanaimprove kutokana na shuhuda kuhusu ndoa zao..cha ajabu na kushangaza mtume/nabii yeye mwenyewe ndoa ilimshinda mpaka mwanamke kasepa...ila anashiriki kikamilifu kurudisha ndoa za watu
HahahahaNdoa yenye furaha unaiona kwenye picha?.. nilijuaga na Wewe una Akili kumbe juha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, asee kumbe ,wanawake wa kibongo ndio walivyo?Ukimuona mwanamke anafuatilia hawa akina Makengo, Chris mauki...huyu mwanamke ni kimeo kaa mbali na yy ni wa kutumia na kuacha coz unakutaga wana vi tabia fulan vya kijinga....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, duhUkiona mwanamke anaenda kuomba ushauri kwenye mitandao ya kijamii kama ni dem wako usimuowe
GunFire