Wanawake wengi wameshikiwa akili na washauri wa mitandaoni?

Yule alileta Uzi humu kuwa alienda kwa mganga ili mpnz arudi..na mganga sharti lake Ni aingize Dawa na mboo ndo yake ndo mpnz atarud..Dada akakubali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni kweli kabisa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio hatuna Akili tunachangamoto nyingi zakimaisha kuliko wanaume. Kuwa Mwanamke sio kazi rahisi jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]
Muongo Wewe changamoto Nyingi Zipi ? Naturally mko hivyo tuu ni rahisi kuingia kwenye mtego. Na sio wanawake wa kiafrika tuu wote mpo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…