Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Kabisa mm nimeishia juu kichwa cha habari kusoma vitu vilefu atakama vina manufaa ngumu ila nikikosa usingiz nitasoma ili nisinzieAngalau na wenginee tusomee maana imekuwa ndefu Sanaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mm nimeishia juu kichwa cha habari kusoma vitu vilefu atakama vina manufaa ngumu ila nikikosa usingiz nitasoma ili nisinzieAngalau na wenginee tusomee maana imekuwa ndefu Sanaa.
Washanipiga sana moyo una sugu kabisaNimeamua kuikata kata dogo, soma hiyo ili usije ukapigwa matukio na wanawake hapo baadae
👍Kabisa mm nimeishia juu kichwa cha habari kusoma vitu vilefu atakama vina manufaa ngumu ila nikikosa usingiz nitasoma ili nisinzie
Ndefu sana uongo kwasasa hapana may be baadaeSoma huu uzi nimeukata kata vipande vipande
Na ukimpenda sana anakuwa na hasira maana anakuwa haamini.Mwanamke anapokuwa hana malengo yoyote kwa mwanaume au anapokuwa ameumizwa sana huko nyuma huwa anataka uhakika wa kupendwa sana kuliko mtu yeyote ili apate kuruhusu mwanaume kuingia kwenye maisha yake
Huyo wako ni mdada wa mjini ama msanii wa bongo movie?Kuna wanawake halafu Kuna huyu wangu, bogazi kabisa
Kabisa Mkuu, yote kwa yote upendo unaanza na wewe mwenyeweUzuri wa maisha unatokana na wewe ulivyo na nafsi yako. The beauty of life grows through your personality