Wanawake wengi wanaamini kwamba mwanaume anapotumia fedha na nguvu nyingi ndiyo anakuwa na upendo wa dhati

Wanawake wengi wanaamini kwamba mwanaume anapotumia fedha na nguvu nyingi ndiyo anakuwa na upendo wa dhati

Hizi ni elimu ambazo vijana wanahitaji sana kuzipata hii itapunguza nyuzi za kulaumu wanawake na single mothers lakini pia itapunguza mauaji ya wenza nje ya ndoa au ndani ya ndoa
Imagine mwanamke ambae hujainvest kwake anakwambia "it is over"yani ni utamwambia "funga mlango wakati wa kuondoka"
 
Kuna baadhi ya wanawake, niliowahi ku date nao ni wale waliosema hawatakaa wapenda tena, ila sio tu niliwafanya walifall, walifall kiwango vha maji ya shingo.
Haya mambo ni wewe tu umeshindwa kuwaingiza kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom