Wanawake wengi wanaamini kwamba mwanaume anapotumia fedha na nguvu nyingi ndiyo anakuwa na upendo wa dhati

Wanawake wengi wanaamini kwamba mwanaume anapotumia fedha na nguvu nyingi ndiyo anakuwa na upendo wa dhati

Manyanza

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
16,464
Reaction score
35,629
Katika karne hii ambayo wanawake wengi wamepigwa matukio ya kuachwa mpweke ghafla, fumanizi za mara kwa mara, kusalitiwa, kuibiwa, kudhulumiwa, kutapeliwa,kupokonywa mali, kudhalilishwa,kupigwa, kushambuliwa kwa maneno makali sana, kutukanwa, kuingiliwa kinguvu na kutolewa dosari za muonekano kwa muda mrefu wengi wamepoteza uwezo wa kumuamini mwanaume kwa kile huitwa "Kamwe usije kumuamini kiumbe anaitwa mwanaume -wanaume wote ni mbwa" n.k

Sasa hapo wanaume wengi wenye hulka ya upole uliopitiliza,huruma kupitiliza, mwenye kusamehe makosa haraka, uvumilivu,kujali sana, kunyenyekea sana huwa wanapoteza mamlaka yao ya kuwa wanaume kwa kuhofia kuachwa au kuonekana wanyanyasaji.

Ngoja nikwambie.Wanawake wengi hivi sasa wapo kimaslahi zaidi wala hawana mpango wa kujenga familia imara na mwanaume yeyote na wachache wenye nia ya kujenga familia huwa wanakutana na wanaume ambao hawana malengo nao.

Ipo hivi Mwanamke anapokuwa hana malengo yoyote kwa mwanaume au anapokuwa ameumizwa sana huko nyuma huwa anataka uhakika wa kupendwa sana kuliko mtu yeyote ili apate kuruhusu mwanaume kuingia kwenye maisha yake

kwa Mwanamke ambaye amejiapiza kwamba hatakuja kupenda wala kuruhusu mwanaume kumuongoza huwa na hulka ya kutaka mwanaume atoe fedha nyingi sana za kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama kubwa sana, kusomesha watoto ambao Mwanamke anakuwa amezaa na wanaume wengine, mwanamke anakuwa anataka mwanaume amnyenyekee, awe analia sana,awe anapiga magoti mara kwa mara,anataka mwanaume awe hana sauti wala mamlaka yoyote kwake,anataka mwanaume bwana ndiyo,anakuwa anataka mwanaume mwenye hofu ya kuachwa ili iwe rahisi kumtawala mwanaume kimabavu, kumpangia sheria, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtangaza vibaya, kumlaumu, kumkosoa vikali sana,iwe rahisi kulipiza kisasi cha kuumizwa na ex wake.

Kwa Mwanamke ambaye ameumizwa sana huwa kwanza mwanzoni anaonyesha ushirikiano lakini ndani ya muda mfupi anabadilka tabia kwa mfano mwanzo simu anapokea,sms anajibu kwa wakati lakini siku zikisogea anakata mawasiliano ghafla bila sababu zozote ili kumpima mwanaume kama atapiga simu mfululizo, kutuma sms mfululizo,kutuma pesa kibao,kutuma zawadi za gharama,kulia, kuomba msamaha, kupiga magoti, kutishia kujiua.

Mwanamke ambaye ameumizwa sana huwa anataka uhakika kwamba huyu mwanaume hawezi kumbabaisha, hawezi kumuacha,hawezi kuishi bila yeye kisha iwe rahisi yeye Mwanamke kurudiana na ex wake kisha endapo ex wake atampiga, kumfokea, kumtukana, kumdhalilisha, kumfukuza, kumtelekeza na ujauzito au watoto iwe rahisi kwake kurudi kwa yule mwanaume ambaye alikuwa anamnyenyekea sana kwa kulia, kuomba msamaha, kupiga magoti, kutishia kujiua, kutuma sms mfululizo, kupiga simu mfululizo, kutuma zawadi za gharama, kumbembeleza sana.

kwanini wanawake wengi walioumizwa kwenye mahusiano huwa wenye kusumbua ni kwa sababu hawana uwezo wa kujiamini vilevile hawaamini kama wanaweza kupata mwenza mzuri wa kudumu naye.

Mambo ya kuzingatia kama mwanaume mwenye malengo na mwanamke wa kisasa (modern women) fanya yafuatayo

-Onyesha kumhitaji lakini epuka kuonyesha kwamba kama atakukataa hautaweza kwenda kwa mwanamke mwengine, onyesha kwamba unahitaji HESHIMA ya Mwanamke sio upendo wake
zingatia kwamba mwanaume Rijali haishi kwa sababu anapendwa sana na Mwanamke bali anahitaji kuheshimiwa tu ili apate kudumu na Mwanamke

-Mawasiliano,piga simu mara moja tu kama hajapokea tuma sms moja tu kama hajajibu achana naye ataanza kuonyesha dharau, kiburi, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali, hasira kupitiliza kwa kuona kwamba umekuwa msumbufu kwake,atakuona takataka, atakuona bwege,atakuona haujielewi kisha atakutumia kama tambara la deki kwa kuja kwako akiwa na Stress za mapenzi zimekuja kwa kuumizwa na ex wake

-Uwekezaji -Tumia 90% ya fedha zako kwa ajili ya kujenga na kuboresha maisha yako,kisha hizo 10% tumia kwa ajili yake.Zingatia kwamba mwanaume mwema sana mwenye kujitoa mhanga kumfariji, kumliwaza, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama, kumjengea,kumsaidia sana kipindi kigumu ndiyo huwa anaachwa ghafla bila sababu zozote za msingi kwa sababu anaonekana anakera, anaboa, sana,amepoa sana kama uji

-Muongoze _ onyesha direction ya maisha yako kisha Mwanamke wako afuate direction hiyo sio wewe kufuata direction yake kwa sababu wanawake wa hivi sasa hawatabiriki unaweza kumpa kila kitu ghafla anakuacha kwenda sehemu ananyimwa kila kitu lakini anakuwa king'ang'anizi

-Kuwa role model kwa wanaume wengine,ikiwa haujiamini ni wazi kwamba Mwanamke wako atakuwa na dharau, kiburi, majivuno, jeuri mbele yako tena atakuwa anaonyesha utii na unyenyekevu kwa mwanaume mwengine mbele yako

-Mpe onyo pale ambapo anaonyesha kiburi, majivuno, jeuri na dharau,epuka kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtangaza vibaya,kumtoa dosari za muonekano badala yake ongea kwa sauti nzito yenye mamlaka ndani yake

-Kuwa na vipaumbele,weka malengo,kuwa busy ,epuka kuwa unapatikana saa 24 akipiga simu au kutuma sms.Watu huanza kuleta dharau pale ambapo wamejenga mazoea kupitiliza

-Mwambie tabia gani hauwezi kuvumilia.Akiwa jeuri muache
-Hakikisha upo na nia njema kwake wakati wa kufanya hayo,kwa maana yeye ndiyo awe jeuri kisha umuache sio kumtafutia kisingizio cha kumuacha.

-Kula vizuri,vaa vizuri, tumia manukato mazuri -epuka kumjali sana kuliko unavyojijali wewe,epuka kujali sana malengo yake kuliko malengo yako,epuka kumfanya apendeze zaidi yako wakati pesa unatoa wewe,epuka kumuinua kiuchumi kukuzidi wakati pesa unatoa wewe, epuka kumpeleka shule wakati huohuo wewe haujasoma

-Epuka kumnunulia simu kama iPhone wakati huohuo wewe unatumia simu ya batani/ kiswaswadu

-Epuka kumnunulia nguo za gharama kubwa sana wakati wewe umepauka kwa kuvaa mitumba

mapenzi yanauma sana pale ambapo umefanya uwekezaji mkubwa sana kwa mwenza wako badala ya kwako wewe mwenyewe.

Nikifa MkeWangu Asiolewe
 
Wanawake wengi hivi sasa wapo kimaslahi zaidi wala hawana mpango wa kujenga familia imara na mwanaume yeyote na wachache wenye nia ya kujenga familia huwa wanakutana na wanaume ambao hawana malengo nao.
 
Mwanamke anapokuwa hana malengo yoyote kwa mwanaume au anapokuwa ameumizwa sana huko nyuma huwa anataka uhakika wa kupendwa sana kuliko mtu yeyote ili apate kuruhusu mwanaume kuingia kwenye maisha yake
 
Mwanamke ambaye amejiapiza kwamba hatakuja kupenda wala kuruhusu mwanaume kumuongoza huwa na hulka ya kutaka mwanaume atoe fedha nyingi sana za kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama kubwa sana, kusomesha watoto ambao Mwanamke anakuwa amezaa na wanaume wengine, mwanamke anakuwa anataka mwanaume amnyenyekee, awe analia sana,awe anapiga magoti mara kwa mara,anataka mwanaume awe hana sauti wala mamlaka yoyote kwake,anataka mwanaume bwana ndiyo,anakuwa anataka mwanaume mwenye hofu ya kuachwa ili iwe rahisi kumtawala mwanaume kimabavu, kumpangia sheria, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtangaza vibaya, kumlaumu, kumkosoa vikali sana,iwe rahisi kulipiza kisasi cha kuumizwa na ex wake.
 
Mwanamke ambaye ameumizwa sana huwa kwanza mwanzoni anaonyesha ushirikiano lakini ndani ya muda mfupi anabadilka tabia kwa mfano mwanzo simu anapokea,sms anajibu kwa wakati lakini siku zikisogea anakata mawasiliano ghafla bila sababu zozote ili kumpima mwanaume kama atapiga simu mfululizo, kutuma sms mfululizo,kutuma pesa kibao,kutuma zawadi za gharama,kulia, kuomba msamaha, kupiga magoti, kutishia kujiua.
 
Mambo ya kuzingatia kama mwanaume mwenye malengo na mwanamke wa kisasa (modern women) fanya yafuatayo

1-Onyesha kumhitaji lakini epuka kuonyesha kwamba kama atakukataa hautaweza kwenda kwa mwanamke mwengine, onyesha kwamba unahitaji HESHIMA ya Mwanamke sio upendo wake
zingatia kwamba mwanaume Rijali haishi kwa sababu anapendwa sana na Mwanamke bali anahitaji kuheshimiwa tu ili apate kudumu na Mwanamke
 
2-Mawasiliano,piga simu mara moja tu kama hajapokea tuma sms moja tu kama hajajibu achana naye ataanza kuonyesha dharau, kiburi, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali, hasira kupitiliza kwa kuona kwamba umekuwa msumbufu kwake,atakuona takataka, atakuona bwege,atakuona haujielewi kisha atakutumia kama tambara la deki kwa kuja kwako akiwa na Stress za mapenzi zimekuja kwa kuumizwa na ex wake
 
3-Uwekezaji -Tumia 90% ya fedha zako kwa ajili ya kujenga na kuboresha maisha yako,kisha hizo 10% tumia kwa ajili yake.Zingatia kwamba mwanaume mwema sana mwenye kujitoa mhanga kumfariji, kumliwaza, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama, kumjengea,kumsaidia sana kipindi kigumu ndiyo huwa anaachwa ghafla bila sababu zozote za msingi kwa sababu anaonekana anakera, anaboa, sana,amepoa sana kama uji
 
4-Muongoze _ onyesha direction ya maisha yako kisha Mwanamke wako afuate direction hiyo sio wewe kufuata direction yake kwa sababu wanawake wa hivi sasa hawatabiriki unaweza kumpa kila kitu ghafla anakuacha kwenda sehemu ananyimwa kila kitu lakini anakuwa king'ang'anizi
 
6-Kuwa role model kwa wanaume wengine,ikiwa haujiamini ni wazi kwamba Mwanamke wako atakuwa na dharau, kiburi, majivuno, jeuri mbele yako tena atakuwa anaonyesha utii na unyenyekevu kwa mwanaume mwengine mbele yako

7-Mpe onyo pale ambapo anaonyesha kiburi, majivuno, jeuri na dharau,epuka kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumdhalilisha, kumgombeza, kumtangaza vibaya,kumtoa dosari za muonekano badala yake ongea kwa sauti nzito yenye mamlaka ndani yake

8-Kuwa na vipaumbele,weka malengo,kuwa busy ,epuka kuwa unapatikana saa 24 akipiga simu au kutuma sms.Watu huanza kuleta dharau pale ambapo wamejenga mazoea kupitiliza

9-Mwambie tabia gani hauwezi kuvumilia.Akiwa jeuri muache
-Hakikisha upo na nia njema kwake wakati wa kufanya hayo,kwa maana yeye ndiyo awe jeuri kisha umuache sio kumtafutia kisingizio cha kumuacha.
 
10-Kula vizuri,vaa vizuri, tumia manukato mazuri -epuka kumjali sana kuliko unavyojijali wewe,epuka kujali sana malengo yake kuliko malengo yako,epuka kumfanya apendeze zaidi yako wakati pesa unatoa wewe,epuka kumuinua kiuchumi kukuzidi wakati pesa unatoa wewe, epuka kumpeleka shule wakati huohuo wewe haujasoma

11-Epuka kumnunulia simu kama iPhone wakati huohuo wewe unatumia simu ya batani/ kiswaswadu

12-Epuka kumnunulia nguo za gharama kubwa sana wakati wewe umepauka kwa kuvaa mitumba

mapenzi yanauma sana pale ambapo umefanya uwekezaji mkubwa sana kwa mwenza wako badala ya kwako wewe mwenyewe.
 
Back
Top Bottom