kasulu yangu
Member
- Jan 25, 2015
- 7
- 2
AKIFAKE NI SHAURI YAKE, wewe umefika tatizo ni nini..?
Mapenzi hayako hivyo, kila mmoja anatakiwa afaidi tendo hilo, hivyo kumjal mwenzako ni muhim sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AKIFAKE NI SHAURI YAKE, wewe umefika tatizo ni nini..?
hahahaaaa Evelyn Salt kumbe tupo wengi, yaani mtoa mada kagusa penyewe
Sasa unapofake orgasm si unajikomoa? Kwa nini usiwe wazi tu..!
sasa km sina mood na umekamia tu nakufanyaje labda!!! nafake umalize haraka nilale
whn it comes to sex jamani men r so selfish, cjui huwa mnadhani na sie ni rahisi km nyie!!! ila somo mmelipata hope mtalifanyia kazi.
....
.....napogegeda ni kisikia pwacha pwacha najuwa tayari !!!
Orgasm kwa mwanamke sio rahisi kihiiivyo!
....
.....napogegeda ni kisikia pwacha pwacha najuwa tayari !!!
Cha msingi ni mawasiliano tu, wanawake wengi nadhan huona aibu kuongea ukweli, wadada tufunguke basiii
mmmmh.. hiyo vagina kuwa laini mbona ni kawaida mamii...!? ila watu wapo tofauti..?Aliyefika haulizwi utamjua tu kupitia kwenye vagina yake maana mwanzon wakat wa kuduu dushe inakuwa imebana...ila ikifikia karbia na climax vagina inaanza kuwa laini hapo orgasm inakuwa tayar..so boys msidanganyike na wadada wanaojidai ku screem mara ooh...aaahhh nyie angalien hiyo method niliyowapa hapo juu..nawasilisha. 🙂
Kiss me ndo lugha ya kiinglish ya kufika kileleni? Nauliza tu kwa ufahamu
mmmmh.. hiyo vagina kuwa laini mbona ni kawaida mamii...!? ila watu wapo tofauti..?
Orgasm kwa mwanamke sio rahisi kihiiivyo!
Utamu unaousikia to the maximum kwenye tendo la ndoa ndio kufika kileleni kwenyewe au unaweza kusema kukojoa japokuwa hutoi maji mengi kama baadhi ya wanawake, Ikiwa unasikia huo utamu, ukalia na kupiga kelele na kuhisi umajimaji umekuzidi ukeni na kutotaka kuendelea kwa muda yaani unakuwa too relaxed huku misuli ya uke ikimwenyua-mwenyua(kubana na kuachia) basi ujue umekojoa yaani umefikia mwisho wa safari.
Kama ilivyo kwenye kufika kilele sio wanawake wote wamejaaliwa kufikia Mshindo hali kadhalika sio wanawake wote wanaofika kileleni na kumwaga kama bomba. Sasa kama unataka kujua kama na wewe unauwezo wa kukojoa kwa kusikia utamu wa ngono na kumwaga ka' bomba mumeo atahitaji kufanya kazi ya ziada kufanikisha hilo.
Kuhisi kutaka kukojoa-
Watu wengine wamefananisha au kulinganisha hisia za kutaka kufika kileleni na zile za kuhisi kutaka kukojoa. Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa lakini kama wewe ni mwanamke ambae hujawahi ufika kileleni na hujui hisia za utamu wa ngono ni wazi kuwa utadhani hisia hizo za kutaka kukojoa (mkojo wa kawaida yaani empting your bladder) ndio kufika kileleni kwenyewe lakini sio.
Baadhi ya wanawake huwa wanahisi hisia hizo za kutaka kukojoa mara tu uume unapoingia na hapo ndio huwa wanadhani kuwa huo ndio utamu wa Ngono unaopatikana kwa kusuguliwa kipele G, vilevile wapo ambao wanapata hisia hizo tendo likiendelea kwa muda mrefu na kudhania sasa wanafikia mshindo na kuachia makojo (kwa kawaida) hufurahia wakihisi "nafuu" lakini unapofika kileleni au kukojoa kutokana na utamu wa ngono husikii "relief" (nafuu) kama ile ya ku-empty bladder, unasikia utamu wa hali ya juu yaani unaweza kutamani mchezo uendee tena na tena na wakati huo huo utahisi uke wako ukimwenyua mwenyua yaani kama unafunga na kuachia(kama unavyokaza misuli ya uke) which huwezi kufanya hivyo unapokojoa.
Kama umewahi kuchezewa (kiss me) kwa ulimi na mumeo au hata kujichua kunahisia fulani za utamu unazipata sasa hisia hizo za utamu unazaozipata pale (kiss Me) ndio ambazo unapaswa kuzipata unapoingiliwa ukeni na mumeo lakini itakuwa tamu zaidi kama vile mara tatu ya utamu huo.
Utamu huu wa ngono hauelezeki na wala huwezi kuufananisha unless unauzoefu na utamu huo via (kiss me) ndio utaelewa jinsi ulivyo. kuhisi kutaka kukojoa na hatiame kuachia mkojo sio kukojoa kwa maana ya kufika kileleni, vinginevyo msingehitaji wanaume wa kuwafanya na badala yake mngekuwa mkinywa maji mengi ili kubanwa mkojo na kukojoa ili kuhisi utamu wa ngono.
Ukweli (kutokana na uzoefu) ni kuwa utamu wa Sex hauelezeki na haufananishiki na kitu chochote sio asali wala sukari ila utaelewa kama unajua utamu wa (kiss me) alafu ongeza mara 3. Mia