Wanawake wengi wanadanganya wamefika kileleni, kuwa makini

Sasa unapofake orgasm si unajikomoa? Kwa nini usiwe wazi tu..!

sasa km sina mood na umekamia tu nakufanyaje labda!!! nafake umalize haraka nilale

whn it comes to sex jamani men r so selfish, cjui huwa mnadhani na sie ni rahisi km nyie!!! ila somo mmelipata hope mtalifanyia kazi.
 
sasa km sina mood na umekamia tu nakufanyaje labda!!! nafake umalize haraka nilale

whn it comes to sex jamani men r so selfish, cjui huwa mnadhani na sie ni rahisi km nyie!!! ila somo mmelipata hope mtalifanyia kazi.


Unakosea sana atoto...!
Don't fake orgasms na kama mna uhuru wa kuongea basi mwambie unavyojisikia.
 
Last edited by a moderator:
Unakosea sana atoto...!
Don't fake orgasms na kama mna uhuru wa kuongea basi mwambie unavyojisikia.

unaongea tu ila nyie wenyewe mnajijua vizuriiii whn it comes kwa hili suala, so bora tu ninyamaze, km mnaelewaga vile!!!
 
Last edited by a moderator:
Orgasm kwa mwanamke sio rahisi kihiiivyo!


Sikukatalii kuwa si hivyo, lakini pia sikubaliani na wewe 100%. Wapo wanawake wana orgasms za haraka sana...! Na wengine ni shughuli pevu kama usemavyo. Watu hawafanani.
Muhimu ni kuwa wazi, kwani kila siku waweza kuwa katika mood ya kufanya mapenzi?...na kama hujafika kwa nini usiseme? Kwa nini ufake kwa mtu unayesema wampenda?
 
....

.....napogegeda ni kisikia pwacha pwacha najuwa tayari !!!

!
!
mkongweeeeeee.....habari yako bana. Hapa ndio huwa naona umuhimu wa uzoefu. Mwenye ujuzi tupu atadanganywa, na in fact atashindwa kumfikisha au atabahatisha kumfikisha. Ila ukiwa na uzoefu utakuwa unajua inachokifanya, kwa hiyo hata usipomfikisha kwa bahati mbaya utajua tu.
 
Cha msingi ni mawasiliano tu, wanawake wengi nadhan huona aibu kuongea ukweli, wadada tufunguke basiii

yah mawasilianao hasa kwenye mambo ya sex ni nzuri sana...hasa mwanaume anatakiwa awe na kazi kubwa ya kumfanya mpenzi wake awe comfortable kuongea mambo ya sex kwa uwazi na deep...hasa kwenye swala la nini kifanyike mpaka aridhike
 
mmmmh.. hiyo vagina kuwa laini mbona ni kawaida mamii...!? ila watu wapo tofauti..?
 
mmmmh.. hiyo vagina kuwa laini mbona ni kawaida mamii...!? ila watu wapo tofauti..?

Mi nadhan hapo nilibase sana kweny vagina ambazo mwanzo wa tendo znakuwa na hali ya unyevunyevu wa kawaida, ila sasa hapo kwa zile ambazo unakuta hata kabla ya tendo zilishalowa inakuwa ngumu kutambua orgasm...hapo kaz ipo ila cha muhimu ni mwanamke kucontrol moves kipind cha mwanzo maana tulio weng hatufiki climax haraka, then hapo sasa ndio utaona sasa kikiri kikiri na mibao yako minane unakuwa unamchosha tu m2 wako..wakat yeye hta hako ka1 tu kukapata ni ishu.
Cha msingi;
Mawasiliano during tendo
Uwazi
Aibu kando
Wote muwe tayar na tendo
Asante mkuu
 
Watu wengi wanajidanganya ukigegeda muda mrefu ndiyo kumridhisha mwanamke...mwanamke akikupenda unaweza ukamuingiza nyoka pangoni dk 5 akaanza kupungukiwa maji...
 

Kusoma mathread kama haya muda wa kazi kama huu ni kutafutiana tabu tuu.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…